Recent content by kabata malima

  1. K

    Ya Serikali ya CCM, Halibora kwa kila Mtanzania na Mo Dewji, Bakhressa, Rostam & 1%

    katika jamii yeyote,maskin na matajiri ni v2 vcvyo epukika...hv ktk familia yenu,wote mnakipato sawa?hii inadhihirisha kipato kitategeme juhudi ya mtu binafsi,so dhana yakusema gap kati ya maskin na tajiri litaendelea kuwa kubwa ni mtazamo finyu!
  2. K

    Zitto amefeli Leadership Qualities

    wachaga walishaamua kumng'oa zito baada ya yeye nakundi lake kutaka katiba ya chama ifanyiwe marekebisho pia safu ya juu ya viongoz ibadirishwe...!,mbaya zaid wanasiasa wakibongo wana tabia ya kukomoana bila kujali madhara ya pande zote...!uwepo wa zito chadema ulikuwa na umuhim wake,hivyo...
  3. K

    Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

    Tatizo ni siyo pkpk,tatizo ni watumia pkpk...ni sawa na kazi ya mikono ikishirikiana na viungo vingine ni kutimiza majukumu sahihi,lakin wengine wanatumia ktk kutimiza malengo mabaya...!vitabu vya dini vimeruhusu adhabu ya kifo kwa kila auwaye kwa kusudio,lkn wanaodai haki za binadam mpk na...
  4. K

    Ni wakati wa CHADEMA kuwasamehe Zitto na Dr. Kitila Mkumbo

    Wangekuwa wachaga,wala yasingefika hapa yalipo...!yangekuwa yalishakwisha
  5. K

    Kigwangala na timu yako - zungukeni mikoani ila hamtamuweza Lowassa

    Hiv,tangu lini ccm ilifanya kosa la kusimamisha mgombea urais mwenye kashfa?Lowasa hawezi kupewa tiket ya ugombea urais,hana ushawishi wa kisiasa wenye nguvu kitaifa...kuwa na nguvu kisiasa kijimbo si kuwa sawa nakuwa na nguvu hiyo kitaifa
  6. K

    Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenza wa maisha

    Yaap,ni mtazamo mzuri sana,kwa ujumla umelenga,maana ndoa c masihara...!ukiowa vibaya utaishi nyumbani & jamii vibaya,utafanya kazi vibaya,na utaza watoto watakao lelewa vibaya huku wakikua tatabia mbaya..A Marriage Made in haste,ends in regrets!!! ...kama maelezo yako yanavyoelekeza
  7. K

    Rihanna Poses Without Panties For French Magazine

    huyu anaonekana anayemla uloda hamfikishi pale anapotaka...huyu dawa mpaka akili mwenyewe kuwa katosheka....
  8. K

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    serikali 2 ndo mpango mzima kwani faida zake na gharama za uendeshaji wake haulinganiki na ule wa serikali 3.ni ukweli usiopingika kuanzisha serikali ya 3 kutaongeza gharama na kuudhoofisha umoja wa kitaifa kiuchumi na kisiasa ikitokea serikali ya 3 ikaanguka
  9. K

    mishahara mipya ualimu

    hebu tusubiri hizo new salary scale,ni vizuri kuwa na uhakika na jambo ndo ukalianika hewani!otherwise ni kushusha 'p' yako
Back
Top Bottom