Recent content by Kabangi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Anne Makinda adhibitiwe, nchi yetu itaumia

    Kunahitajika nguvu ya ziada ya kupambana na Madam Supika, Hiki ni kipindi cha kuchota, tunahitaji umoja na uzalendo ukiongozwa na CDM tuweze kudhibiti hii hali. Makinda must go no way, Zito pambana, pelekeni mashtaka kwa umma
  2. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Askofu Mstaafu Amedeus Msarikie afariki dunia leo alfajiri

    Baba askofu umeenda mbele ya haki siku moja na askofu Thomas Laizer, Arusha na Moshi tunalia, Msarikie utakumbukwa kwa juhudi zako za kuleta maendeleo jimboni Moshi!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Askofu Thomas Laizer wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini afariki dunia

    Kanda ya Kaskazini ni kilio kwa wakristo wa Katoliki na KKKT, Amedeus Msarikie asubuhi, Thomas Laizer jioni. Wana heri wale waliolala katika bwana, Wamevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo wameumaliza imani wameilinda!!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Askofu Thomas Laizer wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini afariki dunia

    Heeee!! Jamani mbona hawa maaskofu wwanakufa hivyo? Mara lo asubuhi ni Msarikie wa Kanisa katoliki, muda huu Laizer Mungu awape pumziko la milele
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Askofu Mstaafu Amedeus Msarikie afariki dunia leo alfajiri

    Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza imani umeilinda
  6. K

    JamiiForums Tanzania Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    ipo ya kuongeza maumbile isiyo na madhara?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Meli ya MV Victoria yawaka moto!

    Hii nchi ina mengi ya ajabu na ya kusimulia, baadae utasikia mara ooohh ilikuwa imesimamishwa kutoa huduma lakini wakakaidi!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Askofu Mstaafu Amedeus Msarikie afariki dunia leo alfajiri

    Baba alinipa kipaimara, atakumbukwa kwa kupigania elimu katika jimbo la Moshi
  9. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Askofu Mstaafu Amedeus Msarikie afariki dunia leo alfajiri

    Askofu mstaafu wa kanisa katoliki jimbo la moshi Amedeus Msarikie amefariki leo alfajiri
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mh. Mariam Kassembe sh. 400mil

    Kauli kuntu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali itangaze kusitisha kwa muda mpango wa bomba la gesi toka Mtwara

    Serikali ya CCM ni sikivu italifanyia kazi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    "Hii nchi haitatawalika"
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Vurugu kubwa kati ya Polisi na wenye 'boda boda' zaendelea!

    Hao bodaboda washughulikiwe kisawasawa kama wanavunja sheria
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mchange, Shonza kuhamia CCM punde

    Wakati wanaondoka tutachukua ufagio tufagie mavumbi yao ndani ya CDM na alama za unyayo wao .
Back
Top Bottom