Recent content by kabagile

  1. K

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro atangaza kuachana na chama hicho! Ajiunga na CCM

    Mnh! Zama ndo zenyewe Japo muda huu tutakufahamuni nyoote! Eee Mungu tusaidie!!
  2. K

    Rwanda: Paul Kagame ashinda kwa kishindo kuendelea kuwa Rais

    Mbeleni hakueleweki kwa staili hii, Maana kamchezo haka nakaona kanakuja kwa kasi katika mataifa yetu haya, yakuuhofisha umma kuwa pasipo flani nchi haindi kwan kabla yake Taifa lilikuwaje?
  3. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hatua yakubadilishana vituo mpaka sasa ndiyo njia pekee yakusaidiana ndugu watumishi wenzangu. Hii nikwamujibu wa s/kali yetu. Hivyo basi tusaidiane inapobidi! Elimu sekondari njoo Kagera- misenyi nije Ilemela/Nyamagana-Mwanza. nakuombeni saana atakayekuwa tiyari nitafute 0763275320. Ahsanteni...
  4. K

    Pwani: Wawili wahofiwa kuuawa kwa risasi Kibiti, idadi ya Waliokufa inasikitisha, sasa yatosha

    SOKO LA KILOLELI, MAZINGIRA YAPI? Makala hii imewekwa katika ukurasa wangu wa fb! lengo namakusudio nikutaka kuwepo uelewa mpana nakuondoa mawazo yanayotengeneza kukwamisha maendeleo yaeneo husika. Nafahamu kila mmoja hasa kwa wakazi wa Mwanza eneo hili lipo wilaya ya Ilemela-Mwanza ni eneo...
  5. K

    Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

    Mnh! Yamungu mengi, Hivi vyama vyenyewe ni matawi yake, hatunashaka kuwa nimaigizo ya mjini. Hivi vyama vya wafanyakazi kazi yake nn? Mkoba tumikia watu siyo ofisi.
  6. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Misenyi Kagera nije Ilemela/ Nyamagana- Mwanza!
  7. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo misenyi Kagera nije Mwanza. Replay via hapa hapa kwa ukurasa huu!
  8. K

    Waziri Muhongo aipiga 'stop' EWURA kupandisha bei(mpya) ya Umeme

    Mnh! never too late to Act!
  9. K

    Kero ya Kelele Kutoka Makanisa ya Kilokole

    Mnh! Rejeeni maandiko yawaongoze ktk hili. Naamini hakuna andiko linawaruhusu hawa walokole kufanya vile zaidi yakuibua vurugu na fujo. Epuka ushabiki kwenye mada iliyoko wazi.
  10. K

    Pombe za viroba zimeua nguvu kazi ya Taifa

    Kwanza Mungu akulipe kwa Elimu ulotoa kwa jamii yetu hii ya leo. Ila ningependa kuongezea vitu vingi kwa sasa vinavyopunguza nguvu kazi ya Taifa. Mfano mdogo angalia vijiwe vya kucheza kamari leo vimekuwa vingi saana. Leo tuna jambo maarufu kama Kubeti juu ya mipira ya Ulaya, Kuna sijui Jackpot...
  11. K

    MSAADA KWA MWENYE KUFAHAMU.

    Kwa yeyote mwenye taarifa ya chuo cha kilimo na mifugo cha IGABIRO-MULEBA. Basi naomba anipe detail zake kwa wanafunzi wa Cheti(certificate) kwa mwaka huu wanahitajika kuwa na vitu gani? sare zao zikoje? wanafungua lini malipo yakoje kwa awamu ngapi inalipwa nk? Kwa mwenye kufahamu naomba msaada...
  12. K

    Muslim University of Morogoro yatoa mikopo (Ada) kwa wanafunzi 2016/2017

    Mnh! Madra "kiarabu" kiswahili yaitweje...... Think b4you replay!!
Back
Top Bottom