coco bella
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 305
- 315
Katibu mwenezi hahaaaaaa umeniua mbavuWeek na nusu sasa ..
Katibu muenezi wa chaputa nimetimiza..
Nataka kujipa likizo ya mwezi au miezi miwili
Katibu mwenezi hahaaaaaa umeniua mbavuWeek na nusu sasa ..
Katibu muenezi wa chaputa nimetimiza..
Nataka kujipa likizo ya mwezi au miezi miwili
Hizi tafiti sijui zinafanyika wapi na kwa watu gani!!
Mbaya zaidi unakuwa sio rafiki wa MUNGU..HUWEZI KUWA MCHA MUNGU NA HUKU UNAPIGA PUNYETO

ila wazee wa chaputa ukiwaambia hiv hawakuelew kabisaaaKiongozi wa kile chama chetu pendwa aje mara moja alitolee tamko hili bandiko na nia yake kwa wanachama... Popote ulipo kiongozi kauli yako inahitajika
Sent using Jamii Forums mobile app

Acheni kutisha watu. Nimepiga punyeto kwa miaka 10+ na sasa nimeoa na kugegeda vizuri tu...
Alaaaaaa kumbeee
Mbaya zaidi unakuwa sio rafiki wa MUNGU..HUWEZI KUWA MCHA MUNGU NA HUKU UNAPIGA PUNYETO


umetishaKwani wewe umeshasikia mtu kafa kwa kupiga nyeto mkuu?
VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
ila kwa thread km hii lazima mbadilike bhana msituletee watoto goi goi bureee hapo bdae
Dah unajua nyie wanachama wa CHAPUTA ni wabishi sana ktk hili hasa mkiambiwa kuna madhara yake bas huwa mnatafuta sababu tu hata za ovyo ovyo ili kuupindisha ukweli mkuuila kwa thread km hii lazima mbadilike bhana msituletee watoto goi goi bureee hapo bdae