Recent content by Kabagala

  1. Kabagala

    JamiiForums Tanzania Usiogope unaweza kujenga na kumiliki kituo cha kujaza mafuta ya vyombo vya moto vijijini cha gharama nafuu

    Amin ndugu, bila saka nitakutafuta nadhani kama sio mwaka huu mwishoni mwakani nitakusumbua naomba usinichoke
  2. Kabagala

    JamiiForums Tanzania Usiogope unaweza kujenga na kumiliki kituo cha kujaza mafuta ya vyombo vya moto vijijini cha gharama nafuu

    Duuuuh ilikuwa kwnye target yangu ila nimegundua kuna malipo mengi ajabu.
  3. Kabagala

    JamiiForums Tanzania Usiogope unaweza kujenga na kumiliki kituo cha kujaza mafuta ya vyombo vya moto vijijini cha gharama nafuu

    kWa tathimini ya harska 100k litres inaweza isha kwa muda gani
  4. Kabagala

    JamiiForums Tanzania Cheti cha Kidato cha nne

    Heee sasa hapo nafanyaje mkuu
  5. Kabagala

    JamiiForums Tanzania Cheti cha Kidato cha nne

    Asanta sana
  6. Kabagala

    JamiiForums Tanzania Cheti cha Kidato cha nne

    Asante sana
  7. Kabagala

    JamiiForums Tanzania Cheti cha Kidato cha nne

    Habari wana jamii, mimi ni nina elimu ya kidato cha nne ya 2009, lakini mpaka sasa sijachukua cheti changu, nawezaje kukipata kwa urahisi? Je, nikienda shule niliyosomea nitakipata?
  8. Kabagala

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza shule muda mrefu, nahitaji kuchukua cheti changu je, Hatua zipi nifuate?

    Habari JF members. Naomba ushauri! Naitwa Otto Kabagala . Nimemaliza kidato cha nne tangu 2009 na sijachukua cheti changu maana niliyakasirikia matokeo yangu (Nilipata grade 4 ya 30) Sasa naona umuhimu wa kuwa na cheti changu, je, Naweza kufanyaje ili nipate cheti changu? Naombeni msaada...
  9. Kabagala

    JamiiForums Tanzania Fahamu machache ya kushangaza usiyoyajua kuhusu mnyama mamba

    Wana utani gani na simba?
  10. Kabagala

    JamiiForums Tanzania Hongera Chadema, hongera Viongozi mahiri wa Chadema.

    Mabadiliko yanakuja
Back
Top Bottom