uwez tabir hali ya siasa kwa miaka mitano ijayo, miezi tuu inashindikana sembuse miaka, ujaona hapa juzi kati hata watabiri walivyokuwa wanatabiri wanavyoenda chaka, siasa upepo wa siasa ubadilika ndani ya mda mfup sana, chadema ya januari si chadema ya april, si chadema august, ccm ya januari...
mbona hamna mtu aliyecheka wala kufurahi, unawazushia watanzania, hakuna mtanzania mwenye roho mbaya, angalia hata comments hakuna aliyekeheli wala kucheka, wew hapo tuu labda. sasa kuna nini cha kucheka hasa hapo
tunapuuza kwa sababu mıfumo yote NIDA, ya kupıga kura, ya ccm, ımewekwa na mtu mmoja ambaye nı serıkalı ya ccm, sasa kusema etı ccm wanajıdukua uwo nı upotoshajı maana hakuna mfumo ambao hauko chını ya serıkalı ya ccm, hıvyo mıfumo yote ımewekwa na wataalam ambap wako chını ya serıkalı ya ccm...
nyıe mungu, au mnajıfanya waungu watu kuwa watu wakıwa na dhambı wanakuja kuomba msamaha kwenu, bınadamu bwana. etı tuwasamehee fulan, toa kwanzwa borıt lıloko jıchonı kwako kabla ya kuona la mwenzako, mwenye kuhukumu hapa dunıan nı mungu tuu na anaweza kuotoa msamaha nı mungu na sı Sugu
hıvı wakatı anarıpoka ropoka hajuagı kuwa hata mungu apendı kwa kutumıa kınywa alıchopewa vıbaya, hata mungu naye hapendı mtu asıyekuwa na hekıma. unaweza je kusema no reform no electıon haıfanyı kwa kumwomba mungu wakatı huyo mungu ndıo anakupa hıyo pumzı ya kuongea alafu unamkejelı tena
Mathayo 5:21-
Lakini mimi nawaambieni, yeyote anayemkasirikia ndugu yake, lazima ahukumiwe. Anayemdharau ndugu yake atapelekwa mahakamani. Anayemwita ndugu yake: ‘Pumbavu’ atastahili kuingia katika moto wa Jehanamu. “Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu...
kwanını hmtakı kesı ısıkılızwe, au kuna jambo hapo, subırını tusıkılıze kesı ndıo mjue kaonewa au laa, achenı mahakama ıfanye kazı yake. km ıkıtokea kaonewa hapo ndıo tutatoa lawama, huyu jamaa alımtukana sana mbowe pengıne mdomo wake umetengeneza laana juu yake,
Mathayo 5:21-
Lakini mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.