Recent content by Kababrah

  1. K

    JamiiForums Tanzania Pombe dhidi ya bangi

    Mimi ni kijana wa kiume, na wanasemaga walimwengu kua ujana maji ya moto, nahitaji kujua vitu ambavyo huenda sivijui, utanisaidia kujaza kwenye comment 👇 POMBE UKINYWA KUPITA KIASI 👉 Husababisha ajali 👉 Matusi 👉 Kudhalilika [ kujinyea, kujikojolea, kutapika, kuropoka] 👉 Kulawitiwa ama kuibiwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana wa kiume natafuta kazi

    Sawa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana wa kiume natafuta kazi

    Arusha
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana wa kiume natafuta kazi

    Form 6
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana wa kiume natafuta kazi

    Nipe mwongozo nikipata laki nianze biashara gani
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana wa kiume natafuta kazi

    Arusha
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana wa kiume natafuta kazi

    Sawq mkuu ndio natafuta kazi kwanza nipate mtaji kuliko kukopa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana wa kiume natafuta kazi

    Kwel ila tunatafuta kazi ili tupate mitaji Bora nifanye kazi Kwanza kuliko kukopa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana wa kiume natafuta kazi

    Habari Mm ni kijana wa kiume natafuta kazi Umri miaka 24 [emoji117] Kuuza duka [ uzoefu miaka 2 ] [emoji117] Kutengeneza mikate , donati, skonzi [emoji117] Wakala wa kutuma na kutoa pesa [emoji117] Kutengeneza chips [emoji117] Kusambaza vinywaji mikoani mfano Maji,bia,soda na hata gas Kama...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ejaculation is the only sweet feeling of sex for male person!

    KIUFUPI NI KUA [emoji116] [emoji117] UTAMU UNAO MWENYEWE KWA MWANAMKE UNAFATA UTELEZI BAS Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    Sina uhakika ila Kama Ni kweli [emoji116] Inawezekana hata BHARESA mwenyewe halijui hili sema hapa katikati Kuna wapambe wanaoangalia izo cv zenu ndio wanafanya maamuz hayo Amin ivo sure
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar, hizi Studio zipo Mtaa gani?

    Dah kweli bana Umepambana sana ila fresh tu umechangamsha ubongo [emoji91][emoji91][emoji111]
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar, hizi Studio zipo Mtaa gani?

    Poa kaka nam itabid nifanye mpango nifike apo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga sehemu yoyote Dar

    Aina shida kaka nitashukuru pia. Waweza nipatia namba yako kama autojali Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom