Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,170
Kwa ulivyoeleza hata kichaa anafika labda kama mleta mada ni msukuma.16. Classic Sound-Mona Gangstar
Panda gari yeyote inayopita Kinondoni Manyanya, shuka kituo cha Manyanya. Kama umetokea upande wa magomeni, ukishuka tu Manyanya, tembea hatua 43 za mwendo wa kawaida utamwona mtu anauza matunda, kunja kushoto pale kwenye transfoma. Tembea hatua 40 utaona duka dogo hivi upande wa kushoto, ukitazama upande wa kulia utaona babywalker ya rangi ya blue bahari imepaki. Sogea pale, bisha hodi, umefika.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa ulivyoeleza hata kichaa anafika labda kama mleta mada ni msukuma.
16. Classic Sound-Mona Gangstar
Panda gari yeyote inayopita Kinondoni Manyanya, shuka kituo cha Manyanya. Kama umetokea upande wa magomeni, ukishuka tu Manyanya, tembea hatua 43 za mwendo wa kawaida utamwona mtu anauza matunda, kunja kushoto pale kwenye transfoma. Tembea hatua 40 utaona duka dogo hivi upande wa kushoto, ukitazama upande wa kulia utaona babywalker ya rangi ya blue bahari imepaki. Sogea pale, bisha hodi, umefika.
Unatafuta mtu wa kuuza matunda au ?Mtu wa kuuza matunda hayupo !
Je ntauliza wengine?
TAFUTA MTU YOYOTE UMLAUMU...!
Mbona wanapapenda sana Magomeni?1. Bongo Record =P Funk---------------------------MWENGE BAMAGA
2. MJ = Marco Chalk---------------------------------------SIJUI
3. Ban Record = Sheddy Clever-----------------------------------------------MAGOMENI
4. Kili Record = Rash Don----------------------------------MAGOMENI
5. Tongwe Record = Bin Laden--------------------------------------------------MASAKI (KARIBU NA COCO BEACH
6. Touch Sound = T touch--------------------------------------------MAGOMENI MWEMBECHAI
7. Tuddy Thomas--------------------------------------------------------------SIJUI
8. Wasafi Record = Diamond---------------------------------------SINZA MORI (ULIZIA FLET ZA BOT)
9.Kwanza record------------------------------------------------------SIJUI
10. The Industry = Nahreel---------------------------------------------------------TEGETA
11. Mazuu Record-----------------------------------------------MAGOMENI
12. Cheiders Record-------------------------------------------------------------MAGOMENI
13. Man Water----------------------------------------------------------TANDALE KWA MTOGOLE (KARIBU NA KIJITONYAMA)
14. M Lab (Texas,Palla,Duke)--------------------------------------SINZA
15. Sharobaro Record = Bob Junior----------------------------------------MAGOMENI
16. Classic Sound = Mona gangster----------------------------------------------------------------MAGOMENI
17. Mwako-----------------------------------------------SIJUI
18. Fundi Samuel----------------------------------------SIJUI
19. Dhahabu Record
20. Fishcrab = Lamaa
21. Abbah Process
22. Kimambo
23. Hightable Sound = Barnaba
24. Freenation = Nay wa Mitego
25. Kings Music = Kiba
26. Mocco Genius
27. MaxMizer
28. Black
1. Bongo Record =P Funk
2. MJ = Marco Chalk
3. Ban Record = Sheddy Clever
4. Kili Record = Rash Don
5. Tongwe Record = Bin Laden
6. Touch Sound = T touch
7. Tuddy Thomas
8. Wasafi Record = Diamond
9.Kwanza record
10. The Industry = Nahreel
11. Mazuu Record
12. Cheiders Record
13. Man Water
14. M Lab (Texas,Palla,Duke)
15. Sharobaro Record = Bob Junior
16. Classic Sound = Mona gangster
17. Mwako
18. Fundi Samuel
19. Dhahabu Record
20. Fishcrab = Lamaa
21. Abbah Process
22. Kimambo
23. Hightable Sound = Barnaba
24. Freenation = Nay wa Mitego
25. Kings Music = Kiba
26. Mocco Genius
27. MaxMizer
28. Black
Na nyingine Unazojua Wewe[emoji111]
Mkuu unajua kuelekeza sana!kuna mwaka nolipewa ramani ya kwenda mcheki jamaa angu mkoa fulani nyanda za juu jamaa kipindi hiyo mchizi akuwa na simu ila jamaa alinichorea ramani nikaisi yule jamaa ni jasusi wa mosad or cia alivyomaliza kichora ramani kaniambia usiulize mtu pambana ukifika piga hodi!ile ramani ilinichukua kama mwezi kuisoma kila siku tukikuta kwa morombo ananiuliza ujaondoka nikamwambia nasoma ramani akawa anacheka tu.nilivyoona nimelewa nikaanza safari arusha to mpanda lkn ilikua lazima nipitie dodoma kwa mujibu wa ramani na tarehe husika ya usafiri nisipoteze ata nukta.kweli nilitoka arusha ndani ya champion bus kupitio moro nikafika dom siku moja kabla nikachuku lodge nyuma ccm pale nimehau jina sijui inatwa umba ina ghorofa kazaa na nyingine ya chini.basi nikachukua ramani naichiki nilivyaliza kuichiki nikairudisha ktk bagi nikafuata maelekezo mpaka station ya treni nikakata tiketi ya tabora yani hii story niliamua kuifanya kama muvi hivi ili nione upeo wangu wa ubongo nikamaza utaratibu wa kupata tiketi nikiambiwa treni itafika saa 4 asubuhi kutokea dar nikarudi lodge.usiku nikawa nawaza hivi naenda kumtafuta mtu ana simu pili kule mpanda sio maarufu yule mshikaji wangu basi asubhi nikaamka nikajinda mdogomdogo mpaka station mida ka saa 3 hv nikakuta nyomi la wasafiri ila sikua naogopa sana maana kipindi hiyo barabara ilikuaga mbovu sana nakumbuka nishasimama sana ktk mabasi singida to dar bila kukaa mabasi yalikua yanajaza zaidi daladala za tegeta,basi ikafika saa 4 na dk kazaa niaanza kusiki honi tukajiandaa chuma ikafika imejaa kinoma ila kwakua mie ni chuga one nikapanda hakuna hata pakuweka matendegu nikona nisimame karibu na mlango basi chombo ikachanganya basi ktk story mshikaji tukaoena akanimbia tulia kuna mdau atakuja anahidhi mizigo toilet na mdau wa biashara ktk vijiji vyote atatufungulia mlango tukae toilet.nikamwambia boa basi chuma ikatambaa tukafika saranda tukapiga kuku wa maana tukaingia tabora kama saa 5 night nikashuka kwakua ramani ilishanilekeza nikuchu njia kufika mbele kweli nilona night club sijui jina nimafuata maelekezo nikakuta lodge nyingi nikachagua moja wapo nikalala hapo.asubuhi mdogomdogo napta chini ya miembe mpaka stand kuu tabara nakuta chuma hiki hapa NBC mizigo juu scania 92 tabora to mpanda nalipa nauli chombo saa 2 juu ya alama inachanja mbuga,kwa mara ya kwanza ndio nimetembe msituni kwa basi muda mrefu maana ata nyayo ya mwadamu wala kupishana gari zaidi ya masaa 2 scania inaunguruma ndio maana mpaka leo scania naimini kuliko chenizi.nikafika mpanda saa 12 na dakika zake nikashuka nikfuta ramani yangu.niona soko nikafuta mpaka kiwanja cha mpira nianza kuisi mie jini nini niguta ramani.sasa ramani ikafika mwisho ile alama siioni tena ila kulikua na duka nikaa pale kuagiza soda maana hule mko kipindi pombe ilikua ainwei ovyoovyo nilipewa tahadhari hiyo.giza lilishaingia alama aipo nikarudi town nakalala mapema nikaenda hadi pale shop nikacheki alama ya mwisho ktk ramani haipo nikazunguka siioni nikona nimepoeza muda na pesa nikarudi dukani nacheki vizuri naona shimo mbele na tanuri la mkaa uliofukuliwa nikajua alama yangu ilikatwa na watu wameanza ujenzi eneo husika.nikashu pumzi na furaha kwa pamoja nikaenda palipo na shimo nikapata direction yangu nikenda kubisha hodi na kuuliza nikambiwa umefiaka nakutana na mwenyiji wangu akiniambia ata jana nilikuona unazunguka ila nikIsi nakufananisha.maisha haya likn tunapitia mengi story ipo short cut ila ni tamu sana nikipata wasaa nitatupia yote16. Classic Sound-Mona Gangstar
Panda gari yeyote inayopita Kinondoni Manyanya, shuka kituo cha Manyanya. Kama umetokea upande wa magomeni, ukishuka tu Manyanya, tembea hatua 43 za mwendo wa kawaida utamwona mtu anauza matunda, kunja kushoto pale kwenye transfoma. Tembea hatua 40 utaona duka dogo hivi upande wa kushoto, ukitazama upande wa kulia utaona babywalker ya rangi ya blue bahari imepaki. Sogea pale, bisha hodi, umefika.
HAPO NIMEBAHATIKA KUFIKA YA KIMAMBO IPO MITAA FULAN YA SINZA NI BONGE MOJA YA STUDIO NI GOROFA INFACT NA GATE KALI SWIMMING NA STUDIO IPO JUU KABISA KALI MNO.1. Bongo Record =P Funk
2. MJ = Marco Chalk
3. Ban Record = Sheddy Clever
4. Kili Record = Rash Don
5. Tongwe Record = Bin Laden
6. Touch Sound = T touch
7. Tuddy Thomas
8. Wasafi Record = Diamond
9.Kwanza record
10. The Industry = Nahreel
11. Mazuu Record
12. Cheiders Record
13. Man Water
14. M Lab (Texas,Palla,Duke)
15. Sharobaro Record = Bob Junior
16. Classic Sound = Mona gangster
17. Mwako
18. Fundi Samuel
19. Dhahabu Record
20. Fishcrab = Lamaa
21. Abbah Process
22. Kimambo
23. Hightable Sound = Barnaba
24. Freenation = Nay wa Mitego
25. Kings Music = Kiba
26. Mocco Genius
27. MaxMizer
28. Black
Na nyingine Unazojua Wewe✌
Poa kaka nam itabid nifanye mpango nifike apoHAPO NIMEBAHATIKA KUFIKA YA KIMAMBO IPO MITAA FULAN YA SINZA NI BONGE MOJA YA STUDIO NI GOROFA INFACT NA GATE KALI SWIMMING NA STUDIO IPO JUU KABISA KALI MNO.