Recent content by Kaa la Moto

  1. Kaa la Moto

    JamiiForums Tanzania Nchi za Africa zinazotegemea misaada zitaamuliwa kila kitu na EU pamoja na USA zisipokuwa makini

    Tujitegemee wapi kwa deni hili tulilonalo?
  2. Kaa la Moto

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu kupelekwa mahakamani na wananchi waruhusiwa kwenda kusikiliza. Kesi kuendelea Mei 19, 2025

    Tutampigia kura akiwa gerezani. Wasitupime nguvu
  3. Kaa la Moto

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu kupelekwa mahakamani na wananchi waruhusiwa kwenda kusikiliza. Kesi kuendelea Mei 19, 2025

    Mtatawala kwa shida sana. Miaka mitano mraiona miaka 30 panya wa kijani nyinyi
  4. Kaa la Moto

    JamiiForums Tanzania Makonda na usumbufu Jijini Arusha

    Anafikiri siku Moja atakuwa rais wa nchi hii. Ila kwa sababu ccm ni wajinga wanaweza tuletea kichaa kuongoza. Mungu atatunusuru kama alivyotunusuru 2021
  5. Kaa la Moto

    JamiiForums Tanzania Nani anavujisha mikataba ya siri inayosainiwa na Serikali ya Tanzania na Waarabu? Lengo lake ni nini?

    Hakuna siri yoyote ila wizi tu ambao mwisho wa siku inaitwa siri. Hivi watanzania lini ujinga utatutoka? Kwa nini mikataba iwe siri kama inatuhusu? Tumefanywa wajinga sana
  6. Kaa la Moto

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

    Na hapa ndipo tunaona umuhimu wa katiba mpya kumaliza kila upumbavu unaoanzishwa na wana ccm hapa bara.
  7. Kaa la Moto

    JamiiForums Tanzania Nehemia Mchechu ni kiongozi mwenye maono

    Ufanisi kwenye mashirika utakujaje kwa kujaza hawa uvccm kama waongoza mashirika? Mpaka akili ikitukaa sawa tukaachana na hilo lichama. Nchi itadunda
  8. Kaa la Moto

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa hauwezi kurudi bungeni. Asia Msangi popote ulipo jiandae kwenda Bungeni 2025

    Mnavuna mlichopanda. Tumieni akili kidogo na kusikiliza ushauri
  9. Kaa la Moto

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Namkumbuka kwa udikteta uchwara
  10. Kaa la Moto

    JamiiForums Tanzania Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

    Nenda chato utaikuta
  11. Kaa la Moto

    JamiiForums Tanzania Sugu asema Makonda alimpigia Mbowe magoti

    Mbwa wa chato tu hawataamini
  12. Kaa la Moto

    JamiiForums Tanzania Tunapoelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 CCM wameacha kumsimanga Magufuli sasa wanamsifia. Kumetokea nini?

    Jamani mwacheni kajifia mhuni yule. Hii ya kutisha watu haitaondoa ukweli kuhusu mapungufu makubwa ya huyo jamaa yenu. Kama watu watakataa kunichagua kwa sababu ya mhuni huyo waache. Shauri yao.
  13. Kaa la Moto

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Tanzania zatumika kuhamasisha maandamano Kenya

    Wee jinga kweli. Wewe kwani mpinzani? Nani anakuzuia? Fanya siasa zako.unazoona zinafaa usilete visingizio
  14. Kaa la Moto

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya penati kikwazo kwa makipa

    Kiria ndio nini?
Back
Top Bottom