Ni kweli. Alisimulia mwenyewe na ni siku nyingi tu. Kipindi chake kilirudiwa kurushwa na Channel 10 saa 3.30 jana ucku. Kama huelewi bora kunyamaza kuliko kkurupuka!
Niwashauri cm na uvccm Kuwa hili la Arusha la kuwatosa watendaji wenu msilishabikie na kuwafanya mjae mapovu kuweni makini sana. Taarifa ya uvccm ni ghiliba na endapo vijana waliotoswa hawatazibwa midomo mengi yataibuliwa na kuivua nguo jumuiya na viongozi wengi wa chama tawala.
Huko nyuma...
Pole sana Bro. Mimi pia yalinikuta yayo hayo nikipingana na ubadhirifu ktk H/Mashauri moja mwaka 2009. Kama ulivyosema Vitalis, jalada langu limekaa Ikulu ile tangu wakati ule hadi hivi karibuni na bado naendelea kusota. Ngoja tuone kama utasaidiwa kulindwa na kupata haki yako!? Sijui!
Hah, hah, haah! Profesa bwana! Ujio wa Lowasa ulimfanya aikimbie kambi ya UKAWA. UKAWA bado ni ile ile, na Lowasa akiwemo ndani, kilichombadilisha ni nini? Lowasa bado yupo!
Basi japo angetumia busara za kawaida tu, wakati ulipoitishwa uchaguzi wa M/Kiti wa kuchukua fomu na kuomba kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.