Recent content by K.Junior

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete ya Mwisho wa mwezi Julai, 2014

    Kwa wale tunaopenda amani ya nchi yetu na tuliomsikiliza vizuri Mh.Rais katika hotuba yake,kwakweli amegusa mambo ya msingi na yaliyokuwa na utata kwa watu waliowengi na kuyaweka sawa.Hotuba hii inatosha kuondoa tofauti zilizopo BMK.Lakini kwa wale wanaopenda fujo,vurugu na marumbano...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Machali afanya mkutano na baba yake mzazi; akana kupigwa

    Ndugu tuache kujadili umbea.Watu wa kasulu endeleeni kutuambia kilichojili hapo mkutanoni
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Karume - timu ya ushindi 2015

    CCM WANAMBINU NYINGI ZA USHINDI WAKIWEKA YEYOTE ATAPITA TU.:wof: By;K.JUNIOR
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ndiye msemaji wa UVCCM - Paul Makonda

    Makonda fanya mambo yako acha kuonyesha dharau zako kwa viongozi wetu wa dini.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa aibua vita mpya

    Big up Mgeja,safi sana waambie
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni inayoendeshwa na Nipashe, Lowasa awaacha wenzange mbali sana.

    Tunahitaji rais shupavu kama Lowasa wewe kama hautaki shauri yako,Lakini mafisadi wanajipanga kumchafua president wetu tarajali kwani wanajua akiingia ikulu ufisadi mwisho!!.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya CHADEMA Kigoma Yamshangaza Lema

    Wanajukwaa mliokuwepo wakati wa mkutano wa cdm Kigoma tunaomba pics kumaliza njadala huu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mapokezi aliyopewa Zitto Kigoma- Ni kwanini hakuna alama (Bendera, Kombati, n.k) za CHADEMA

    Yalikuwa mapokezi ya kitaifa na sio ya chama
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe - Kigoma: 21 Desemba 2013

    Safi sana wanakigomav
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    Zitto kabwe
Back
Top Bottom