Recent content by K.hewa

  1. K

    Utumishi mtuangalie na sisi wa mikoani!

    utumishi mna kosea sanaa serekali inatakiwa iingilie kuhusiana na hili kwasababu vijana wakiamia dar es saalam..kutoka mikoan mnawaona wajinga lakini sababu nikuokoa nauli kama hizo hv kwanini msingehamia dodoma katikati ya nchi angalau kidogo ingesaidia...alafu pia naona hamna ratio yaan mnaita...
  2. K

    Agizo lingine la Serikali ya Magufuli lapuuzwa

    mbona unalialia sanaa kwan shule za kata huzioniiii...unapenda vizuri unaogopa gharama...mbona hata ukienda kwenye hotel za kimataifa soda inauzwa 5000...uswahilin 700...usikae kulaumu nenda sehemu ambapo unauwezo napo
  3. K

    MkikiMkiki: Mdahalo wa wagombea Urais Oktoba 18, 2015

    kwanini kila mgombea anazungumza kuwapa ajira vijana..lakini hawasemi watawatengenezea mazingira ya vijana kujiajiri wenyewe kwa sababu tukiwezesha vijana kujiajiri.. Nakuondoa wazo la kuajiriwa itasaidia kupunguza tatizo la ajira.
  4. K

    Enzi za Mwalimu na Kawawa walitumia vipaza sauti gani kwenye mikutano ya hadhara?

    unakosea unapojiita mwana sayansi.. Ww sio mwanasayansi ww unasoma historia ya sayansi tuu... Hujawahi hata kugundua kitu kidogo kwa akili yako eti unajiita mwanasayansi...ifike sehemu dhamira yako ikusute usijekuwakasirisha wanasayansi marehem kama isack newton...n.k
  5. K

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    tayari kashatangaza kashajitoa ccm
  6. K

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    star tv warushe live na hii kama niwapenda haki
  7. K

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    mzee ametulia anavyoongea hana paparaaa yaani
  8. K

    TBC 1 kuonyesha makala za Wizara ya Ujenzi, sio kumnadi Magufuli?

    hata wakionesha haisaidii kitu kwasababu hakuna anayeangalia tbc sku hizi
  9. K

    Mageuzi Urusi yalikuwa Oktoba 25, Je itakuwa hivyo Tanzania?

    kimenuwiseee ccm wajiandaje kisaikolojia
  10. K

    Wanachama zaidi ya 600 na viongozi wa CHADEMA Vunjo wahamia CCM

    mwaka huu wapinzan wasiokuwa na misimamo lazima wawe mamilionea
Back
Top Bottom