Hivi Adam na Hawa(Eva) baada ya kutambua kama wamekua mke na mume Adam alimlipia mahari Hawa. Na kama alilipa alimlipa nani. Na kama hakulipa Je utaratibu wa kulipa mahari ulitoka wapi?
Hivi karibuni nimejaribu kufikiria nikaona kumekua na upungufu wa ma sponsor kwenye masuala ya entertainment haswa muziki hivi nini inaweza kuwa sababu.
Je wameona mziki haulipi au ni nini?
Roma win over shakhter
Man utd win over sevila
Sochaux win over auxerre
AIK Stockholm win over Orebro
Wolves double chance over Reading
Aston villa double chance over QPR
Plackpool vs chalton total over 1.5
NO LOSE ZON3
Tatizo la watu wengi wanashindwa kupata pesa kwenye betting kwa sababu ya matarajio makubwa. Mfano mtu anabet 1000 au 2000 anatarajia 500,000 au 1M hiyo Unaweza ukachukua hata mwaka kuja kutokea mara 2. Ni bahati nasibu. Kufanikiwa ni kutarajia pesa kulingana na kiwango unachokiweka. Utafanikiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.