Wachunguzi wa masuala ya muziki na filamu wanasema ni kutokana na wasanii wenyewe kujihusisha na chama la mboga mboga na baada ya kutumika wametupwa kama kondom hivyo sponsa hawezi kudhamini kitu ambacho hakiuziki na hakina faidaHivi karibuni nimejaribu kufikiria nikaona kumekua na upungufu wa ma sponsor kwenye masuala ya entertainment haswa muziki hivi nini inaweza kuwa sababu.
Je wameona mziki haulipi au ni nini?