Recent content by JYUSUPH LOGISTIC

  1. JYUSUPH LOGISTIC

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hapa ni lowasa tu boda boda wotee ni lowasa ccm wanafata mafuta ya bure na mkwanja
  2. JYUSUPH LOGISTIC

    Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Hivi tume ya uchaguzi sio CCM kweli maana asije akashinda mgombea kutoka CDM halaf wakamuweka mgombea kutoka CCM .Mmmmh aya ngoja tusubil maana tafsiri ya neno mapinduzi lina maana kubwa mno ila watu hawajajua.Mungu ibariki afrika Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
  3. JYUSUPH LOGISTIC

    Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    Duuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!Jaman kwani ikulu ni mahali pataka tifu but kwa sasa mmmmh sijui.
  4. JYUSUPH LOGISTIC

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Habari mbzi ipi hiyo vinapatikana malamba au mbezi beach sijaelewa mbezi ipi
  5. JYUSUPH LOGISTIC

    Viwanja vinauzwa Kinyerezi

    uko kinyerezi ni pazuri kweli
  6. JYUSUPH LOGISTIC

    Ajali Iringa: Watu 23 wamefariki dunia na wengine 34 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi na lori

    Dah inauma saaana pole sana mlo fikwa na msiba innalillah wainnalilah rajuun ,Kuhusu moro-mbeya barabara ni mbaya mno lakn serikali bado haikujifunza kwa majinja na magali mengine yakikosana kugonga coz of barabara sasa serikali inasubiri watu wazidi kutoweka au ndo inasubili mpaka kiongozi naye...
  7. JYUSUPH LOGISTIC

    Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Mimi mwenye nataka kufungua hiyo stationary ili uone kma inakuletea manufaa yani faida faida without loss kma unafanya mwenyewe bila kuajiri ni njia gani unaweza fanya na ukaiona faida .
  8. JYUSUPH LOGISTIC

    Serikali yamkomoa msaidizi wa Mkapa... NSA KAISI!!!

    Hicho kiwanja ndo hicho kinacho itwa (KIBIRICO) ambacho kipo opposite no (KABIMITA) karibu na Pugu mnadani upande wa kushoto au sio hicho? naomba kujua Pugu mwakanga ni ipi!
Back
Top Bottom