Serikali yamkomoa msaidizi wa Mkapa... NSA KAISI!!!

Serikali yamkomoa msaidizi wa Mkapa... NSA KAISI!!!

Sawa, Mkuu huyu Nsa Kaisi kama ulevi wa madaraka basi alilewa akawa chakali, habari zisizothibitisha huyu jamaa hana mken wala mtoto, mke wake alikuwa madaraka aliyokuwa nayo. Akiwa ni mkuu wa mkoa wa mtwara kwakutumia madaraka yake anamiliki eneo kubwa zaidi ya eka 10 kwa wanaoishi Mtwara eneo hilo liko wazi hadi hivi leo limepakana na VETA na nyumba za kilimo pale shangani, pia aliacha gari mpya kabisa mpaka sasa inaoza pale yadi za VETA, Pickup fulani hivi,, eneo hilo la shangani watu wanalimezea kweli, kumbe ana eneo lingine kama hilo huko Pugu, nawaunga mkono wanainchi waliovamia, kuna usemi unaosema kwamaba "ukishiba sana usimwonyeshe mungu tumbo" sasa Nsa kaisi amshiba sana anahozi maeneo hawezi kuyatumia wacha wenye shida watumie.

Halafu kwenye title deed kuna maelekezo kuwa unatakiwa uendeleze eneo kwa matumizi yalioruhusiwa kwenye hati husika ndani ya miezi sita.kisheria huyo hana tena ardhi
 
Hicho kiwanja ndo hicho kinacho itwa (KIBIRICO) ambacho kipo opposite no (KABIMITA) karibu na Pugu mnadani upande wa kushoto au sio hicho? naomba kujua Pugu mwakanga ni ipi!
 
Hilo shamba lililovamiwa lingekuwa ni la raia wa kigeni wavamizi wangeondolewa mapema sana maana sisi ndio zetu kuwa thamini wageni na kuwaacha ndugu zetu wakiangamia
 
Back
Top Bottom