Dada hutaki kulaumiwa lkn inaonekana wazi kuwa unajilaumu na kujiona mkosaji..kukaa kimya haitasaidia iokoe familia ya huyo mchngj kw kumwmbia mkewe bila hivyo utakuwa umechangia kuiteketeza familia nzima Indirectly na kwa hili utalaumiwa hadi na viumbe visivyo na uhai..
Nakupongeza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.