Recent content by JVM-Eradicator

  1. J

    JamiiForums Tanzania Anayeifahamu Njombe High School anijuze haya

    Habari zenu wakuu kwa anaye ifahamu Njombe high school yaani; Kitaaluma ikoje Mazingira ni rafiki kwa wanafunzi kujisomea? Ina toa na kufundisha tahasusi(combination) zipi? Ina walimu bora? na mengineo Tujuzane .... Ukitupia picha itapendeza zaidi za hiyo shule NATANGULIZA SHUKRANI
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu, hawa watu wanatoa wapi namba zetu?

    Maisha tu wanajifanya hawajui hakafu ukiingia kwenye 18 zao tayari unafanyiwa utapeli
  3. J

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    Mimi nilikuwa sijui hilo nashukuru kwa kunifahamisha popote pale pindi litaenda tu au siyo mkuu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    Mkuu nataka nikajutane na Wasongolist ndio mana nimeuliza kama kweli naweza chaguliwa shule hizo
  5. J

    JamiiForums Tanzania Series Kali isiyochosha wala kukinai Tafadhali!

    Okay mkuu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    Habari zenu wakuu kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa special school kama kibaha,mzumbe nk Combination ya PCB Nina Physics C Chemistry B Biology B
  7. J

    JamiiForums Tanzania Series Kali isiyochosha wala kukinai Tafadhali!

    Hamna mkuu ni full action utazipenda tu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Series Kali isiyochosha wala kukinai Tafadhali!

    Mkuu katafute hizi HAPA ziko good kwakweli Cruel romance Love in time
  9. J

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Taifa: Simba SC 1-0 Azam FC, ligi kuu soka Tanzania bara

    Aaaaah wapi
  10. J

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Taifa: Simba SC 1-0 Azam FC, ligi kuu soka Tanzania bara

    Simba itashinda tu kama kawaida wazee was 4G Huku bocco Okwi Azam hachomoki .........[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Back
Top Bottom