Recent content by juve2012

  1. juve2012

    Naomba kuwaaga rasmi Wana JF, nikipona tutakuwa pamoja tena

    Rest easy baba.Ahsante kwa maisha yako yaliyotukuka.JF na watanzania tumekupoteza mtu muhimu sana. R.I.P padre mstaafu.
  2. juve2012

    Hii kasi ya Marekani kujisogeza kwetu baada ya kifo cha Rais Magufuli inatia shaka

    Kwa hili la corona nakubaliana na wewe. Sisi tuchague watusaidie vipi ila si wao kutushinikiza aina ya msada. Kuweni makini sana huko nyumbani bado ni bikira.Msiwaamini sana hawa watu.
  3. juve2012

    Prof. Palamagamba Kabudi awataka Watanzania kunyamaza kimya

    BAK my friend,mark this post untill 2022!It has just started,the serpent is falling down.Mungu ni hakimu. Joka sio mtu mmoja,ni mfumo,wenye agenda ovu. Mungu yupo East Africa,hatokubali ujinga huu na ameanza kuonyesha makucha yake nyumbani kwetu wenyewe.
  4. juve2012

    Je, deep state ya Tanzania inamtaka nani awe Rais?

    Nasikia wako arobaini sijui,mimi nawaambia tu wakae wakijua nchi yetu deep state ni waomba Mungu tu,na kudhihirisha mamlaka yake kupitia watu wake,nawaambieni kuanzia sasa mpaka 2022 yatatokea mengi sana na hao ds hawatakuwa na la kufanya,na huo mwaka wa 2022 Mungu atadhihirisha wokovu wake kwa...
  5. juve2012

    Prof. Palamagamba Kabudi awataka Watanzania kunyamaza kimya

    Nimekuwa kimya tangu serikali hii iingie madarakani sababu nilishajua nchi inaelekea wapi. Hii ndio post yangu ya kwanza tangu 2015 October. Mwelekeo wa nchi si mzuri hata kidogo. Wengine tulishajua anachaguliwa kiongozi wa aina gani tukaogopa na kutikisika kabisa. Sasa nimueleze jambo mzee...
  6. juve2012

    Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

    Ukiona watu wanatumia nguvu kubwa kuilinda amani,ujue watu hao ni wavunjaji wa haki. PENYE HAKI HAPAZUNGUMZWI NENO AMANI,MAANA WATU HAWANA MUDA KUHANGAIKA KUTUNZA KITU AMBACHO KINA GUARANTEE YA KUENDELEA KUWEPO CHENYEWE. NI UCHIZI KUZUNGUMZIA AMANI PASIPO NA HAKI,SAWA TU NA KUZUNGUMZIA MWANA...
  7. juve2012

    Chanzo cha ajali ya chopa iliyombeba Filikunjombe

    Hili swali ni vema likajibiwa. Kama hii ilikuwa mojawapo ya zile za Makamba,basi nawaombeni CCM please,ground all these rotorcrafts.la mgambo hili...
  8. juve2012

    Helikopta iliyoanguka (na Filikunjombe) ilikuwa ya Kalonzo Musyoka, former Vice President of Kenya

    Kwa usalama wa viongozi wetu,ni heri hili suala lisipuuzwe.Haya maswali yajibiwe,watu wawajibishwe.La mgambo hili...haya.
  9. juve2012

    Helikopta iliyoanguka (na Filikunjombe) ilikuwa ya Kalonzo Musyoka, former Vice President of Kenya

    Iliwahi kutoa tahadhari.upo uzi kule jukwaa la uchaguzi. Shida yetu ni kufuata sheria.Je,hii helicopter ilipewa kile cheti?masharti ya utoaji cheti yalizingatiwa?mbona tunaambiwa ilikuwa "spana mkononi"?ilipataje cheti?na huko Kenya ilipata cheti?basi haya.
  10. juve2012

    Uchaguzi Mkuu 2015: Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yakataza kurusha chopa bila kibali

    Kwa hiyo hii helicopter ya Filikunjombe ilipewa Certificate of airworthiness?masharti ya kutoa cheti yalizingatiwa ikiwa pamoja na proof ya matengenezo ya karibuni?huko Kenya ilipotoka ilipewa cheti?
  11. juve2012

    Helikopta iliyoanguka (na Filikunjombe) ilikuwa ya Kalonzo Musyoka, former Vice President of Kenya

    Na pia makubaliano yao yalikuwaje?nani alikuwa anahusika na maintenance wakati wa mkataba,aliyekodi au owner?je,Kalonzo aliruhusu fundi yeyote kugusa chombo chake au kuna mipaka aliweka?tukishajua hilo tufuatilie ilifanyiwa maintenance gani mara ya mwisho na kwa tatizo lipi and who was...
  12. juve2012

    Helikopta iliyoanguka (na Filikunjombe) ilikuwa ya Kalonzo Musyoka, former Vice President of Kenya

    Thanks for info mkuu. Kwa hiyo ilikodishwa na CCM au Filikunjombe binafsi?
Back
Top Bottom