Kweli kuwa na degree au hata Masters wakati mwingine hakumsaidii mtu katika kufikiria na kufanya maamuzi ya nini cha kuandika na wakati mwingine hata upeo wa uelewa wa mambo unakuwa mdogo sana no matter unalevel gani ya elimu.Sasa mahusiano yako wewe na January yanatuhusu nini sisi?kwani...
Kwa mtazamo wangu nafikiri namba tano litakuwa jina la kijana.Hii itakuwa mahususi kwa ajili ya kutambua mchango wa vijana katika Chama cha Mapinduzi na Taifa kwa ujumla lakini Kijana huyo ni lazima awe na mtazamo chanya katika kukiimarisha chama pamoja na kuvunja nguvu ya upinzani katika...
Tukiangalia umri,maono ya mbali na uwepo wa fikra chanya katika maendeleo ya nchi yetu nafikiri Mh.January makamba ataweza kuwepo ndani ya hiyo tano bora
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.