Habari za sasa hivi wanajamvi poleni na majukumu ,mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya mafanikio na wanasema mafanikio hutokana na jinsi ambavyo tutamia fursa ,mimi kwa upande wangu ni mwanafunzi wa shahada ya uchumi, ninatamani kuingia kwenye maswala ya burudani na kuandaa tamasha...
Siko tayari kukujibu vibaya laiti ungenielewa maana yangu wala usingejibu kwa kukurupuka kaka, Nimehoji hivi nina maana kubwa ni kwamba sa hivi watu wananyimwa mikopo eti kisa mtu amesoma sayansi je wao wamesoma hayo masomo ndo maana yangu sijamzarau mheshimiwa nina muheshimu sana tena sana mimi...
Mwanzoni nilipofeli kidato cha nne mwaka wa majanga 2012 nilihisi ndo mwisho wa kuiona degree kutokana na maneno ya kukatishana tamaa kutoka kwa baadhi ya ndugu na ukilinganisha wanafunzi wengi marafiki zangu walifauru kuendelea na masomo ya kidato cha tano, lakini namshukuru mungu sikukata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.