Recent content by Justine Marack

  1. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mbona Samia anasisitiza sana watu kulipa Kodi siku hizi?

    Timui Abudulu anasemaje kwa I?
  2. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, njaa itaniua

    Bora anaeomba KAZI na kuiweka aibu pembeni
  3. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akutana na Viongozi wa Simba na Yanga Ikulu, leo Juni 13, 2025

    Kila mwenye akili ameelewa yule Kiongozi ALIYEPIGA simu kuizuwia Simba isifanye MAZOEZI tarehe 7.3.25. Ni Ajabu kuona timu inavamiwa na polisi wamekaa pembeni. Meneja wa uwanja naye akapongewa kwa kupandishwa cheo . Leo tumeelewa kiburi cha Yanga kinatokana na shabiki wao namba kubwa ncini...
  4. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Jabir ameuawa Zanzibar BAKWATA kimya! Mnasubiri Maaskofu wakemee mje kuwazodoa?

    Mashehe hawana Shida na muuwaji aliyevaa kiremba
  5. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania CAG: Deni la Serikali lafikia TSh. Trilioni 97.35, ongezeko la TSh. Trilioni 15.1

    Singida BS wamekwapua ngapi?
  6. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Kwa kipengele hiki Yanga hata waende FIFA hawatapewa point tatu

    Polisi wameshashindwa kudumisha usalama mpaka Simba wamefanyiwa Fujo, Sasa Ukitaka watu wauane ndio ufurahi. Kumbuka wanasimba walikua wameshajaa sumu
  7. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Maoni: Watu Kumi wenye nguvu zaidi Tanzania kwa sasa (Ten most powerfull people)

    Nchi ya Mwigulu. Amefikia hâtua ya Kugawa Uraia kama njugu. Jamaal Kuna jambo zaidi ya Uwaziri Mwigulu anagawa Uraia kama njugu
Back
Top Bottom