Recent content by justine Baragamba

  1. J

    Gharama za kupiga plasta nyumba

    Hapa unamaanisha mifuko 24 ya cement kwa gari mbili za mchanga.
  2. J

    Gharama za kupiga plasta nyumba

    Wastani wa chumba kimoja cha4*4 kinachukua mifuko mingapi kwa ratio ya ndio 18 za mchanga kwa mfuko
  3. J

    Ushauri: Mke anataka mtoto, mimi sina uwezo huo

    Wewe piga mashine brother. kama shahawa zinatoka, na wewe chukua likizo, jiandae kisaikolojia kwamba sasa unakwenda kupanda mbegu, kula vizuri hasa vyakula vyenye protini. Piga supu ya samaki tena ukipata sea foods ndio penyewe. usiogope wengi tumeona majabu uzeeni.
  4. J

    Gharama za kulipia gari bandarini na TRA

    Naombeni mnisaidie utaratibu halisi wa kulipia ghrama za kuingiza gari nchini ilikwa ni pamoja na gharama za TRA usajili kutokana na mwaka
Back
Top Bottom