Recent content by justina

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nani aijenge na kuipigania Tanganyika kama siyo Watanganyika!?

    unajua makonda ndo lugha zao za siku zote tumewazoea, so hata wakipata elimu awawezi kubadilika kwani nao wako kazini wanahitaji kujaza abiria wengi ili waweze kupata kipato
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nani aijenge na kuipigania Tanganyika kama siyo Watanganyika!?

    mimi bado siamini kama tumelaaniwa? kwani naamini kila mtu ana akili na anafanya kitu kwa akili yake, huku akijua anaharibu au anabomoa
  3. J

    JamiiForums Tanzania Read and Think of it Very Deep!

    kumwongoza binadamu ni ngumu ndugu yangu na kuishi kwa binadamu anaishi anavyotaka yeye anavyopenda anachoamua papo kwa papo,
  4. J

    JamiiForums Tanzania Read and Think of it Very Deep!

    ukweli ndo uo hata ukatae hao watu wapo juu katika mapenzi sio kama sisi wanawake/wanaume kumikumi tena bila kuogopa tunasema live
  5. J

    JamiiForums Tanzania Read and Think of it Very Deep!

    na si rahisi kuamini kila kitu au kila mtu, kwangu mimi ni ngumu kidogo
  6. J

    JamiiForums Tanzania Read and Think of it Very Deep!

    unajua tumeumbwa na aibu haswa kwa wanawake hata wanaume baadhi, so ni rahisi kuongea na mtu through msg kuliko face to face, ukiandika unatoa dukuduku lote kuliko ukiongea nae uso kwa uso unamficha mengine huwezi kumwambia
  7. J

    JamiiForums Tanzania Read and Think of it Very Deep!

    mara nyingi unamsaidia mtu lakini na wewe mwenyewe unahitaji msaada , na mara nyingi tunatumia neno NAKUPENDA, SAMAHANI WAKATI HALITOKI MOYONI, Tunakosea sana inabidi tujirekebishe, tofauti na wenzetu watu weupe wakisema I LOVE YOU, ni kutoka moyoni
  8. J

    JamiiForums Tanzania They want me to marry, but where are the men?

    Kuolewa kwa mwanamke wa kitanzania ni heshima, me bado sijaolewa ila nawashauri wasichana wenzangu muolewe na mume bora si bora mume, usitafute pesa tafuta mapenzi ya kweli, thanx
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

    mapenzi ya kweli ndo muhimu katika maisha, aijalishi ana pesa au hana cha muhimu ni kupendana kwa dhati , Fuata moyo unapokuelekeza usifwata mawazo ya mtu mwingine, unaweza ukafwata pesa , zikiisha je? utaondoka au? hahaha, thanx
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume na vituko vyao.

    Kweli kila afanyacho mwanaume mbele kuna mwanamke, kiwe kizuri kibaya mkatae mkubali, na mara nyingi washauri wa mwanaume ni mwanamke so inabidi mliangalie hili kwa makini wandugu, thanx
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ukinyang'anywa mtoto, unaweza kuchukua maamuzi kama haya?

    mmm ni ngumu kumwonea huruma mama wa ndoa bali tunamwombea tu mungu amfariji azidi kumpa nguvu na uvumilivu kwani mumewe ndo tabia yake maana kapata wa kiume mmoja nadhani anatafuta kwengine mwingine na huko ndo atatolewa shingo.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ukinyang'anywa mtoto, unaweza kuchukua maamuzi kama haya?

    ila inabidi na sisi wanawake tuwe makini tunapenda pesa na tamaa ndo zinazotusababishia yote hayo so we unajua huyu ni mume wa mtu na unaamua kuzaa nae, inabidi muwe na CONTRACT, nadhan itasaidia hata baadae yakitokea maafa. Pole dada mwenzangu kwa yaliyokusibu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ukinyang'anywa mtoto, unaweza kuchukua maamuzi kama haya?

    asikudanganye mtu hyu baba ni muuaji kabisaaaaaaaaaaa yani mtoto mdogo hvyo anampeleka wapi tena wababa wenyewe siku hizi awaaminiki wanabaka hata watoto wao , mwehu kweli i wish nione mwisho wake me ningemng'ata pua ili awe na kumbukumbu vizuri. thanx
Back
Top Bottom