Recent content by Justice minister

  1. Justice minister

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji... Hata hili litaachwa lipite?

    Huyo zero anawaendesha polisi akina sirro na mambosasa.
  2. Justice minister

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe katika Majeshi yetu hakuna Karakana na magari hutengenezwa na Kampuni za Wahindi zitakazojitokeza

    Huyo rc ameshadharauliwa na kupuuzwa kwahiyo anatafuta psychological relief kwamba anakubalika kumbe sivyo. Anajipendekeza kwa jeshi anadhani ni kama polisi.
  3. Justice minister

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ agonga basi la mwendokasi na kulitelekeza gari na kukimbia

    Kuna tofauti ya habari ya uongo na habari kuwa na uongo.
  4. Justice minister

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ agonga basi la mwendokasi na kulitelekeza gari na kukimbia

    Wewe umesema ni polisi, ina maana hujui tofauti ya wanajeshi na polisi?
  5. Justice minister

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ agonga basi la mwendokasi na kulitelekeza gari na kukimbia

    Nani alimuona akikimbia na alikuwa akikimbia kwenda wapi?
  6. Justice minister

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ agonga basi la mwendokasi na kulitelekeza gari na kukimbia

    Nani alimuona akikimbia?
  7. Justice minister

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ilala Aingilia kati ugomvi wa FFU na wananchi wa Ukonga Dar

    Hao polisi wahojiwe wawataje wenzao wote waliohusika kisha wafunguliwe mashtaka mahakamani.
  8. Justice minister

    JamiiForums Tanzania Askari wawili washikiliwa vurugu za polisi Ukonga

    Mambosasa alisema hawakuwa polisi ila ni wahuni tu.
  9. Justice minister

    JamiiForums Tanzania Hongera DC wa Ilala Sofia Mjema kwa busara yako kutii na kuwaondoa FFU katika mkutano wake!!

    Kwa polisi vyote ni vituo tu.
  10. Justice minister

    JamiiForums Tanzania Hongera DC wa Ilala Sofia Mjema kwa busara yako kutii na kuwaondoa FFU katika mkutano wake!!

    Ni kufuata taratibu za kisheria tu sio kujichukulia sheria mkononi. Raia wangeanza kupambana na polisi hata hicho kituo chao cha ffu ukonga wangekikimbia. Polisi ni chombo kinachofanana na mahakama na kazi yake ni kusimamia sheria za nchi, sasa kama polisi ndio wanakuwa wavunja sheria nani...
  11. Justice minister

    JamiiForums Tanzania UKONGA MOMBASA, DAR: Polisi watembeza kichapo kwa raia. Yadaiwa kuna askari kauawa na raia

    Hakuna mwanajeshi anayeweza kupoteza muda wa kuongea na hao watu wasio na akili.
Back
Top Bottom