,,
hivi karbuni kumekuwepo kutoelewana kati ya serikali na mchungaji KAKOBE, hili lilitomea baada ya mchungaji kakobe kutamka kuwa ana pesa kuliko serikali,jambo hili liliifanya serikali yetu pendwa inayoongizwa na mtukufu sana aliyeshushwa na Mungu na kufikia hatua ya kuanza kumchunguza...
TRA kwa kutangaza hadharani kwa watu wasiohusika (unauthorised person) taarifa za mapato (kiwango cha fedha zilizopo) kwenye account ya kanisa (Full Gospel Bible Fellowship) kwenye taarifa yenu ya uchunguzi, siyo tu mmevunja sheria za kodi (kama nilivyoonyesha kwenye baadhi ya vifungu hapa...
Alizibwa mdomo kwa kujengewa barabara pale kwake, ndivyo wanasiasa wanavyofanya, wanakupa vimisaada ili kukuzima, kukufanya usiweze kukosoa, Ndiyo Kakobe anakataa pesa ya mwanasiasa, Kanisa lake Kakobe (FGBF) , halitegemei hata senti tano ya mzungu yoyote au mwanasiasa yoyote. Ndiyo maana...
Shetani naye anatumia maandiko, Mfano Mathayo 4: 5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu, 6 akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako...
Kakobe ni mtumishi wa Mungu, hafanani na wewe mlevi na mwasherati. ameokolewa, amesafishwa. ndiyo anakuhubiri hata wewe uache dhambi.
Sitakujibu tena, nisije nikafanana na wewe! labda kama utakuja kwa adabu.
Mithali 26:4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.