Recent content by just_zero

  1. J

    JamiiForums Tanzania Endeleeni tu Kujidanganya kuwa Rais Samia hana Mafunzo ya Kijeshi. Hii Salute yake hapa ni ya uhakika na ya Kibabe nimeipenda sana

    😂😂 now nimefahamu ata jeshi hukupita.. salute left arm Iko straight(no fist), elbow inacros chest... Na mkono unaishia nyuma ya skio hnaiita salute?? ,
  2. J

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiliba: Moja ya mkakati wa wanaharakati ilikuwa kutugawa kidini

    Huyu sijui alipataje huo uraisi 😂😂
  3. J

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Damas Ndumbaro: Wasanii wa Tanzania hawajavunja sheria kwa kuuza kazi zao au kushiriki katika kampeni za CCM

    Damas, Stop beating around the bush..... Sote tunajua wananchi walikua wanafagilia,wanashabikia na kuzisifia kazi za wasanii kipindi chote Cha campaign. Kuwa na chama haikuwa issue, na ni haki yao kikatiba, ila kukaa kimya kipindi wananchi wanauwawa was the issue the problem started baada...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni rahisi sana kutabiri atakachozungumza Samia na Wazee wa Dar Dec 02

    Umesahau "kulinda tunu yetu ya amani" na kuwaaasa vijana kufanya hivo😂😂
  5. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yoyote duniani iliyowekwa na wananchi huwa haitishiwi kwa matamko na maneno ya michambo mitandanoni

    Naona mnaleta udini wa kipumbavu kwenye mambo ya msingi. TEC walikua wanatoa matamko hata kipindi Cha magufuli.. na yeye alikua muislam??. Kikwete hakupingwa na wananchi Kwa kiasi hiki ingawa alikua muislamu... Msilete udini watu wanapoonesha incompetence ya shoga enu.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Napendekeza: Tuwe na CCM Pekee Kama Ilivyo China na CCP, Vyama Vingine Visiwe Washindani Bali Vishiriki Ndani ya CCM

    Yaani kisa incompetence yenu yakuongoza ndo unataka wakosoaji waondolewe?? Brainless kabisa.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nasikitika sana CHADEMA kushindwa kuruka mtego mdogo wa kesi ya mgawanyo wa mali za chama

    Ungekua unajua namna ambavyo shauri liliendeshwa bila ya kuwepo Kwa wakili yoyote upande wa utetezi (chadema) na hukumu ikatoka kuzuia mali usingekuja kubwabwaja upuuzi huu
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea CHAUMMA achanganya mafaili akifikiri bado ni CHADEMA, asema 'Peoples'

    Na wameitikia pawa 😂
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Nyerere angekuwa hai, angemuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    Mmoja alisema "katiba ndio msingi wa maendeleo katika taifa" alafu mmoja akasema "maendeleo hayaletwi na kijitabu" Asante
  10. J

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA NDOA: Mke wangu anauza supu za mbuzi kwa Siri?

    😂😂😂 Ngoja nikuitie cocastic aseme... Maana nikasema mm mtasema ni chuki binafsi
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

    Tumeshaambiwa tunamzidi mmarekani ukuaji wa kiuchumi mkuu.... 😂😂😂 Unatucompare na Kenya seriously??
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike Umri kuanzia 18

    Kasema above 18, mwanamke changamka 😂🫴
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike Umri kuanzia 18

    😂😂🙌 cocastic si ni wewe umeitwa asee
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ingekuwa mkeo ungefanyaje?

    Nikahisi nipo mwenyewe 😂
Back
Top Bottom