Recent content by Jussep

  1. Jussep

    JamiiForums Tanzania Maisha ya bongo ni magumu mnoo vijana wa kiume wanapitia pagumu...Hasa bodax2

    Ulikokotoa vipi ukapata 75%
  2. Jussep

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu yangu Redmi note 12 pro

    Ni life gumu au imeharibika unataka isikufie? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Jussep

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

    Kichwa chako kigumu[emoji1787]
  4. Jussep

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kuweni makini sana kuoa wanawake waliotoka Vyuoni

    We bado ni bikira hadi leo? Tuanzie hapo.
  5. Jussep

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha Padre Rwegoshora kufuatia tuhuma za kuhusika mauaji ya Asimwe Novath

    Walikuwa sahihi maana sio karoko bali ni paroko
  6. Jussep

    JamiiForums Tanzania Mchungaji wa KKKT mbaroni kwa kumbaka binti wa miaka 15 mbele ya mdogo wake

    [emoji1787][emoji1787] we si umeokoka? Picha za nini sasa?
  7. Jussep

    JamiiForums Tanzania Moto wa kisasi unawaka ndani yangu!

    Kawamalize! Kuuliwa baba sio jambo la.kusamehe kirahisi hivyo.
  8. Jussep

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia: Mahujaji zaidi ya 500 wafariki wakati wa Hija huko Makka

    Kwahiyo kwenda kuungama kwa mchungaji sjui paroko, askofu and the like halafu akuambie umesamehewa ndio sawa? Wakati yeye mwenyewe ana yake anapaswa atubu pia?
  9. Jussep

    JamiiForums Tanzania Serikali impe zawadi mtunzi wa shairi hili "kama mnataka mali...."

    Punguza makasiriko ndugu
  10. Jussep

    JamiiForums Tanzania Mwananchi aliyefiwa mtoto wake Muhimbili adaiwa kutakiwa kulipia Tsh. 10,695,000 ili kuikomboa maiti

    Lakini mh. Dorothy Gwajima si yupo hapa? Anaweza kulitolea ufafanuzi. Hii sio sawa.
  11. Jussep

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji kingono kwa wanawake ni tatizo kubwa sehemu za kazi

    Wee, sema kweli! Kwahiyo hukumfanya chochote? Kweli upele hupewa msikucha.
Back
Top Bottom