Recent content by juspen

  1. J

    Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

    Kaka Yerico ebu cheki namba ya hiyo gari vizuri hatuna namba ya gari ambayo inazidi T999...so kama ni efu mbili na kitu na wasiwasi kuwa ni namba feki. Asante tuwe makini
  2. J

    Dk. Kitila Mkumbo, Kwanini watu makini wasianzishe chama chao?

    Wewe Hansard inaonekana wewe ni UHAROO vibaya sana na ujui unacho kifanya .....yawezekana umepata ajira Lumumba soon ...hata buku 7 sidhani kama unapewa ....nimeona UZI wako mmoja umeruka ..Mods wakaamua kuutoa kabisa ...now naona unachangia the same Uharo ile mbaya....JF ni sehemu GT...we...
  3. J

    Yametimia,mkutano wa dr. Slaa wakwama Kahama,wananchi wasusia mapokezi na mkutano

    Tuntemeke, Mimi nipo Kahama ndio kwanza Msafara umeingia na una watu wengi sana .Kwa hivi sasa watu wa mwisho wapo Rocken hill na waliotangulia kwa maana ya wageni Dr na walioambatana nae wako NBC zamani....watu ni wengi sana na Mji wa Kahama Umezizima ile mbaya.....nyimbo za chadema , na vifijo...
  4. J

    Je, wewe ni Mfuasi wa CHADEMA au Shabiki MAANDAZI?

    Wanabodi wenzangu,Nimetumia muda mwingi kufuatilia yaliyojiri hivi karibuni katika mjadala unayoihusu Chadema na Watu waliokuwa katika za juu katika chama hicho na nikagundua kuna aina mbili za wafuasi ukiacha waliitwa CHADEMA MAPYOKO NA WAKILI KICHEERE, kwa upande wangu nimeona kuna WAFUASI...
  5. J

    KOVA, "Muongo Muongoze" Rais wa Awamu ya Pili Tanzania

    Wanabodi wenzangu, Napenda kuchukua fursa hii kutumia msemo wenye busara ambao Muheshimiwa Rais wa Awamu ya pili aliwahi kusema "Muongo Muongoze". Hii kauli naweza kusema ni nzuri sana tukaitumia kumuongoza Kamanda Kovva ktk kile anachotumika kuwa mstari wa mbele kuundanganya Umma hasa katika...
  6. J

    Wimbo wa Taifa wa Zanzibar

    Wanabodi habari? Naomba mwenye shairi ya wimbo wa Taifa Nzanzibar ili niufahamu. Naamini wengi wetu hatuujui au hatujawahi kuusikia kabisa, mwenye hayo mashairi tunaomba tafadhari tufahamu.
  7. J

    Ama ni kutokuwa competent ktk uandishi wa habari au lugha inaweza kuwa tatizo

    Wanabodi Salama! Kwanza nimshukuru Mungu kunipa uhai na afya njema kuweza kuona kiumakini mahojiano ya Raisi Obama na Kikwete kupitia kituo cha TBC1. Niwape pongezi TBC kwa kujitahidi kufanya ufundi wa kuyarusha vizuri matangazo kutoka Ikulu muda mufupi ambao mgeni wetu katumia kuongea na...
  8. J

    Tukihitaji Tanganyika yetu, tuwaulize TSL ni kwa nini waliamua kubaki kujiita TSL baada ya Muungano.

    Wanabodi wenzangu, nimefikiri sana kuhusu Tanzania bara kurudi katika Tanganyika kama jina sahihi lakini pia kuirudisha Tanganyika yetu iliyokuwa na Neema zake enzi zile na Uhuru iliyoupata 1961. Kitu ambacho nilikiona na kujiuliza ni hii Jumuiya ya Wasomi wa Sheria Tanganyika(Tanganyika Law...
  9. J

    Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

    Katika wabunge ambao naona ni kama ni waviti Maalum ni huyu Komba. Tena inawezekana hata hao wanapata kama zawadi wanajitahidi sana kuliko komba.
  10. J

    Mulongo: Sijawahi kutuma ujumbe wa vitisho kwa Lema

    Wanabodi wenzangu nimeshangazwa sana na Jeshi letu la Mapolisi Mkoa wa Arusha, baada ya kujitahidi kutumia msuri kumsafira Muongo, badala ya kupeleka ile taarifa kutoka kampuni husika kwa Mahakama ambayo ingeweza kumsafisha. Eti namba ni ileile lakini centre numba ya SMS sio ya mitandao ya hapa...
  11. J

    Sehemu unayokuwa na Upinzani au yenye kupinga Chama tawala lazima kuwe na uonevu kwa Machinga?

    Wanabodi wenzangu nimefuatilia kwa karibu vurugu ambazo zinatokea baina ya Machinga na Askari wa Jeshi letu Polisi nikagundua Maeneo mengi ambayo yanakubwa na vurugu hizo ni zile ambazo huongozwa na Wapinzani au maeneo yenye misingi ya kukipinga Chama Tawala hapa TZ. Mifano michache ambako...
  12. J

    CCM wamgeuka RC Arusha: WADAI AMEMWONGEZEA UMAARUFU LEMA, CHADEMA

    Wanabodi, nimefuatilia kauli za Mkuu wa Mkoa wa Arusha toka alipofika Chuo cha AIA kwa ajili ya kutoa pole na wayforward kama Mwenyekiti wa Usalama Jiji la Arusha nikaona ni Mtu mwenye jaziba,kutumia nguvu nyingi na hasira lakini asiejua hata kusoma saikolojia ya Watoto akiwa kama Mzazi. Lakini...
  13. J

    Mh.NCHIMBI umemtetea kinana,toka na hili pia

    Wanabodi wenzangu nimeendelea kutafakari kwa kina sana juu ya tuhuma mbaya sana hasa kwa Mtu wa ngazi ya juu sana kwa Chama tawala na ninaamini hata kwa Serikali kwa sababu ni mtu ambaye anamsahuri Amri Jeshi mkuu ambaye ni Raisi, na mimi naamini huyu Mh. Kinaina ni zaidi hata ya Makamu au Raisi...
  14. J

    Ujangili na Biashara zisizoeleweka: Ni nani huyu - Mohsin Abdallah(Sheni)?

    UPDATES: Novemba 2014, Gazeti la Economist limeandika haya https://www.economist.com/news/middle-east-and-africa/21631202-claims-links-between-politicians-and-poachers-merit-further-investigation-big Aidha, vema kusoma Ujangili na Biashara zisizoeleweka: Ni nani huyu - Mohsin...
  15. J

    Nina Imani ya tuhuma zilizotolewa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu Ujangili wa makada wa MaCCM

    Bado nasisitiza tena kama ingekuwa ni uongo tunafahamu Kiti cha Spika huwa kinarukia mapema lete ushahidi ndani muda fulani, lakini pia kabla kusomwa report ile ni kwamba huwasilishwa kwa katibu wa Bunge kwa ajili ya kuipitia kwanza, sasa unataka kuniambia hawakuona hayo yote kabla kuwa ni uongo...
Back
Top Bottom