Je, wewe ni Mfuasi wa CHADEMA au Shabiki MAANDAZI?

juspen

Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
24
Points
0

juspen

Member
Joined Dec 20, 2012
24 0
Wanabodi wenzangu,Nimetumia muda mwingi kufuatilia yaliyojiri hivi karibuni katika mjadala unayoihusu Chadema na Watu waliokuwa katika za juu katika chama hicho na nikagundua kuna aina mbili za wafuasi ukiacha waliitwa CHADEMA MAPYOKO NA WAKILI KICHEERE, kwa upande wangu nimeona kuna WAFUASI KWELI WA CHADEMA na MASHABIKI MAANDAZI.Tukianza na WAFUASI KWELI WA CHADEMA ni wale wanafuata misingi na itikadi ya chama wakiwa wanatazama Malengo , Dira wakizingatia (Core Values ) za Chama. Hawa mara nyingi husimamia sera za ndani (Policy) ambazo zinamuongoza Mwanachama na anatakiwa kuzifuata na ikigundulika tu amevyunja sera yoyote kati ya hizo inaweza kupelekea akafukuzwa ama akapata adhabu nyingine yeyote kulingana na Katiba au kamati ya maadili (Disprinary Commetee) au Baraza ambalo lilijadili naye na kufikia maamuzi. Na katika hili huwa hakuna kumwangalia mtu machoni isipokuwa ni kufuata nini Policy inasema na maamuzi yamesemaje. Kwa hiyo hao wanafuata misingi hiyo juu ndio WAFUASI CHADEMA hasa kwa misingi , dira na taratibu za Chama na huwa awaangalii kitu isipokuwa wanasimamia misingi hiyo. MASHABIKI MAANDAZI, hawa ni wale wasiojitambua na huingia katika ufuasi kwa Kumfuata Mtu fulani au Mapenzi na Mtu fulani lakini pia huwa wanaitwa wafuata Mkumbo au bendera fuata Upepo. Na mara nyingi watu hawa ikitokea umemkwaza mtu ambae wanamfuata yupo tayari hata kupigana pasipo kuanga misingi na taratibu zikoje katika Jumuia husika na vilevile kila neno ambalo analolisikia katika masikio yake hata kama nila kupika au kutungwa na lenye kuonyesha linamtetea Mtu anayemfuata huwa analishabikia na ikiwezekana kutokwa macho na povu mdomoni.Mimi ninachoomba watu tuache USHABIKI MAANDAZI ebu simamia UFUASI WA TAASISI HUSIKA kwa kufuata sera na misingi ya chama hicho.Tayari kama kuna mshumaa unawaka katika Giza totoro na tumeshaona angalau mwanga ni vema kama kuna KIUPEPO KINATAKA KUZIMA ULE MSHUMAA ,EBU WOTE WENYE MAPENZI MEMA NA WALE TULIOONA ULE MWANGA TUZUIE UPEPO HUO , NA SIO KUANZA KUANGALIA NYUMA NA KUJIULIZA HIVI HUU UPEPO UMETOKA WAPI?.......usiwe shabiki Maandazi , chukua hatua tafadhari zuia UPEPO.
 
jebibay

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2012
Messages
1,411
Points
1,225

jebibay

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2012
1,411 1,225

Hapo kwenye red nadhani prof. Baregu naye yupo hapo !. Probably nime-exegerate kidogo lakini naamini anakaribiana na hao....
 
Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
33,818
Points
2,000

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
33,818 2,000
Yaani nyie watu wa Lumumba mna viroja! Hata watu walioulizwa hawajajibu tayari mushatoa misimamo yenu. Mnakadhania hivi siasa za Chadema mpaka mtasahau jina la Chama chenu bure!
 
Forum statistics

Threads 1,392,167
Members 528,552
Posts 34,100,446
Top