Usipite tu hebu toa mchango wako wann kifanyike kuhusu jambo Hilo kwa sababu tunaona raia wanapogonga wanafikishwa mahakamani wann huyu nae asifikishwe huko
NAOMBA KUULIZA:Kuna polisi akiendesha gari akagonga na aliyegongwa akafariki hakuna kilichoendelea hadi leo yupo mtaani anadunda tu kwani sheria za nchi hii ni kwa raia tu wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.