Recent content by Jupta

  1. J

    Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

    Napenda sanaa kuwekeza katka kilimo....nmeshajaribu kulima matikiti mara mbili nikakosa......nataka nijaribu kwingne
  2. J

    ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

    Kwasasa ACACIA wakae na uACACIA wao huko huko.....hahahahahaha
  3. J

    Waziri wa Viwanda, Charles Mwijage: Ukiwa na vyerehani vinne hicho ni Kiwanda kidogo

    Hawa watu wanatudharau sanaa watz.......Vyerehani vinne .......Kiwanda........Ama kweli ukistaajab ya Musa ....utayaona ya Tanzania ya viwanda......cc ....Mwijage
  4. J

    SGR-Tanzania US$187m/300km V/S SGR-Kenya US$3800m/609km, tumelamba dume

    Ile ya Kenya imeambatana na ufisadi mkubwa sanaa....na msishangae hata SGR ya kwetu hapa mpaka Mwanza na Kigoma zaid ya kilometa 1500 ikatumia pesa sawa hyo USD 3.8 billion sawa na kilometa zao Kenya 600...
  5. J

    Wabunge wa CCM wanafanya kikao usiku huu ndani ya ofisi za Chama Dodoma

    Kukemea serikal ni DHAMBI KUU ....according to this CCM.....kweli tutakomaa mpaka 2020 halaf 2025....tutakuwa tumeshachoka kabsa
  6. J

    Wabunge wa CCM wanafanya kikao usiku huu ndani ya ofisi za Chama Dodoma

    Naionea huruma Tanzania....sjui hawa wanaCCM wanawazaga nin? Sasa hii tekateka ya watu na kuwajeruhi jamani.......kweli tumeshikwa pabaya.....nomaaa sanaa.....
  7. J

    VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

    Mtu anatembea anachechemea lakin anasema yuko salama kabsa na hana tatzo.........nimeogopa sanaaa
  8. J

    Gwajima amcharukia Diamond

    Ngoja akachakaze kijana........Almasi kuwa maji.......cant wait to see that....lazma niwahi kanisani kwa gwajima.....hehehehehehehehe tena mbeleeeeeeeee
  9. J

    Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

    Balaaa hili......nomaaa sanaaa
  10. J

    TBC wasusia habari ya kamati ya waziri Nape na TEF

    T wew unapata mda wapi wa kuitazama TBC? Hyo channel nayo bado ipo? Nina miaka zaid ya 7 bila kuiangalia kwa kweli .....looool
  11. J

    Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru Karibu Mamlaka Kamili

    Kati ya makosa yatakayofanyika ni kuvunja Muungano na kuwapa Wazanzibar mamlaka kamili.......
Back
Top Bottom