Niliwahi kuwa na Iphone 4, njia rahisi download UC browser, fungua youtube kupitia hiyo kitu, fungua video yako' ikiinza upande wa kulia utaona alama ya mshale na kopa' click kwenye alama ya mshale video itakuwa ina jisave automatically" kumbuka video zako zote unazo download ukizitaka kuangalia...
Safi sana! Wauliwe tu! Niliwahi kuibiwa simu Kama huyo dada! Maeneo ya mwananchi relini! walipogundua wamenipola simu ya kawaida walinitukana wakakimbia, Kama kunamtu anawatetea wezi Subiri siku yako itafika!
Nimewahi kuwa na tatizo Kama hilo kwa muda! ila sasa niko safi! Karibu dawa zote zilizo tajwa nimetumia! Kitu cha msingi usipende kubadiri dawa Mara kwa Mara! pili ukitumia dawa ukiona kunavipele vichache usipende kuvishikashika kila wakati yani kivikamua huenda nalo likawa ni tatizo! tumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.