Recent content by junno

  1. J

    JamiiForums Tanzania Safari ya mateso katika mahusiano yangu

    Pole sana kaka lakini jifunze kuact kama mwanaume wa kiafrica wanaume wanaoact gentleman n wazungu african men we are polygamist asa dem yeye kaplay part ya msichana wa kibongo materialist sasa yeye kaishi kiafrica wewe umeishi kizungu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

    Nisaidie namba za girlfriend wako
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Hussein Bashe aagiza Mshindo Msola akamatwe

    Uyu waziri Bashe awe mfano wa kuigwa kwa watendaji wenzake wa serikali yaani ikipendeza hata viongozi wako wa chama wafanye jitihada uwe waziri mkuu endelea kuchapa kazi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Kaumbwa Kuburudisha Iweje Atake Kuridhishwa Yeye? Wamepindua Meza Au?

    [emoji16][emoji16][emoji16]
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Kaumbwa Kuburudisha Iweje Atake Kuridhishwa Yeye? Wamepindua Meza Au?

    Kwny sex kila mtu anatakiwa amridhishe mwenzie yaani nusu kwa nusu kati ya mwanaume na mwanamke maana sisi wanaume tunafurahia tendo la ndoa zaidi maana sisi ni wabinafsi pale kwny mchezo tukiwa tunakutana na wanawake......ndio maana mwanaume akiridhika anatulia zake! wanawake wakipitia unyagoni...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nipe utofauti kati ya kubet na kufanya biashara?

    Jamanii embu nielezeeni utofauti kati ya kubet na kufanya biashara lakini nahisi kama zinaendana hivi embu tudiscuss hii mada kwa hoja zakueleweka
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jamiiforums haina matangazo

    Kwanini Jamiiforums haina matangazo kama tunavyoona blogs nyingine zinavyoendeshwa wanagenerate vipi mapato yao wanatumia vipi hawa wafuasi wao kuwa na fedha kwa kupitia matangazo madogomadogo wataalamu kikao kianze.
  8. J

    JamiiForums Tanzania TTCL hii chance mkiizembea hamtoboi tena, fanyeni hivi mpige hela mpaka vichwa viwaume

    Idea ni nzuri lakini unasahau swala moja mkonge wa taifa unaotumika ni mmoja wa ttcl kwamba yeye ndio internet provider kwny makampuni yote ya simu sasa hapo huduma haziwezi kuwa ni huduma shindani inatakiwa mkonge wa taifa usiwe mmoja itengenezwe hata mitatu au zaidi iliinternet iwe na kasi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania TTCL hii chance mkiizembea hamtoboi tena, fanyeni hivi mpige hela mpaka vichwa viwaume

    Idea ni nzuri lakini unasahau swala moja mkonge wa taifa unaotumika ni mmoja wa ttcl kwamba yeye ndio internet provider kwny makampuni yote ya simu sasa hapo huduma haziwezi kuwa ni huduma shindani inatakiwa mkonge wa taifa usiwe mmoja itengenezwe hata mitatu au zaidi iliinternet iwe na kasi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kukuza biashara yangu nakwama

    Nimesoma uzoefu wako kwny biashara lakini kinachoumiza kwny biashara ni kodi ya fremu,kodi za sirikl kiujumla nadhani nimeeleweka matumizi yako binafsi maana wakati mwingine unatakiwa uipe biashara muda wa kujiendesha ndio ufanye matumizi yaani pambania mtaji ukue iliuzalishe faida
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Jamani biashara sio kitu kirahisi hivyo mnavyofikiria biashara haitengenezwi kwa maneno ni vitendo na biashara sio kimbilio la wajinga biashara ukiwa ndani yake ndio unapata kuielewa biashara zinautofauti wake mfano biashara nyingi za bidhaa maji,soda,sigara.........hawa wenye hivi viwanda...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini TPDC wanalipwa mshahara mkubwa kiasi hiki?

    Nimeamini leo waswahili hatupendani kumbe ukianza kazi na mtu akiona mafanikio yako anapata kijiba cha roho
  13. J

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bodaboda imeua ndoto za vijana wengi

    Nahisi point yako haijajitosheleza jiulize swali kabla bodaboda hazijaingia nchini vijana wengi waliokuwa na elimu duni walikuwa wanafanya nini mitaa miaka ya zamani kama kumbukumbuku mnazo kulikuwa kuna uhalifu mkubwa wakuibiwa majumbani vitu kama ma tv,ma redio.........sasa imekuja bodaboda...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

    Aircraft investigation acha ianze kufanya kazi sasa
Back
Top Bottom