Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

Kwanza kabisa Wewe ni bikra? Na. Wewe unataka mke au unataka kuzini? Kama kweli unampenda na unataka awe mke wako utakubaliana nae, kama sivyo isipende kumharibu mwenzako ambaye amejiheshimu kwa miaka yote hiyo.

Una ushahidi kuwa huyo binti ni Bikira? To be franky, na kwa wakati tulio nao ni kupoteza muda bure tu kwa kisingizio cha bikira. By the way, huo ubikira unatija gani hadi mtu ujione ni malaika? Tafute mwingine huyo asikusumbue bure. Unaweza ukavumilia kuwa kweli huyu ni mke mwema, siku ukiingia mazima hiyo kitu breki hadi kwenye krdani! Shauri yako,mambo hayo ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia yameshawakumba wengi.
 
Nivizuri ila mwekee mashariti kweli kama ukamwoa ukakuta hana bikira temana naye.
 
Angalia kuna binti mmoja anakaa mitaa ya kimara anajiita yeye ni bikira lakini kifuani bila tanganyika jeki haendi. Kuwa makini sana kwa sasa mtu akikuambia yeye ni bikira, kwako anakuwa bikira, kwa wengine used item.

Mchunguze vyema...
 
Wana Jamiiforums wenzangu naombeni Ushauri.

Nina mwaka 1 sasa kwenye mahusiano, mpenzi wangu hataki kabisa tu-sex coz yeye bado ni bikra, anasema hawezi kuvunja amri ya 6 mpaka tuoane.

Dini zetu ni tofauti, pia hata malengo ya kuoa kwa sasa bado sina coz bado najijenga kimaisha. Mimi ni Mwanaume niliyekamilika nani atanitimizia haja zangu kama siyo yeye.

Anadai ananipenda hataki tuachane.

Niko njia panda ndugu zangu naomben msaada na ushauri.

Asanteni

kama humpendi mtoto wa watu na umeshaambiwa amejitunza ...muache....acha kujitafutia laana zisizo na msingi...hii ndo mikosi wengine inawaandama hadi wanajiona ma zombie.... Huwezi achana nae..katafute wasioweza kuvumilia kama wewe..mbona wapo pia/
 
Kama kweli unataka ushauri wa ukweli na mzuri kutoka kwetu, weka picha yake tukupe wasifu wake mkuu, maana JF ni kila kitu. sidhani kama ni vizuri kupata ushauri kutoka kwa mtu asiyemfahamu
 
Test before use. Ukimuoa ukamuta ana jinsia mbili utamuacha? Or kuna wanawake hawana uke, yaani Mayer Rokitansky Kuster Hauser Syndrome (MRKHS).
 
Muambie akupe ruhusa ukatafute wakukutimizia haja zako yeye asubir ndoa uone kama hajakupa hiyo maneno
 
Wana Jamiiforums wenzangu naombeni Ushauri.

Nina mwaka 1 sasa kwenye mahusiano, mpenzi wangu hataki kabisa tu-sex coz yeye bado ni bikra, anasema hawezi kuvunja amri ya 6 mpaka tuoane.

Dini zetu ni tofauti, pia hata malengo ya kuoa kwa sasa bado sina coz bado najijenga kimaisha. Mimi ni Mwanaume niliyekamilika nani atanitimizia haja zangu kama siyo yeye.

Anadai ananipenda hataki tuachane.

Niko njia panda ndugu zangu naomben msaada na ushauri.

Asanteni

U such a jerk
 
Sijui kipi kinaweza kukueka kwa huyo binti...hii inaonyesha dhahiri kuwa huna mikakati nae ila unachotaka kufanya ni kumuharibia.

Why usitafute wa dini yako?
Why usisubiri mpaka ukaoa?
Why...why..why?

Kama unaona relation yako ina "Why" nyingi, you better call it off.

Mwache mtoto wa watu usimuharibie fyucha yake banah,kama wewe hupendi wanaotaka kusubiri mpaka ndoa wengine wapo,waachie wanaopenda wasichana wa namna hiyo we tafuta mwenye miwasho kama wewe asiyeweza kuvumilia kama wewe sawa?????????!!!!!!!!

Well said
 
jisajili kwenye chama ya punyeto,,,,,, stress unazitafuta mwenyewe.....eti unaomba ushauri kwa kuzini,,,, nunua jamaa soap na kitaulo ingia kwenye fungate kimya kimya.......kazi yako inakuwa kuwadownload..... ukifika ghetto una upload 1 by 1.....
 
Piga chini hana swaga...kwanini alikubari kuingia kwenye mahusiano wakati anataka kuitunza mpaka sijui nini, basi angesubiri aletewe mume nyumban......ye si anataka sifa.
 
Wana Jamiiforums wenzangu naombeni Ushauri.

Nina mwaka 1 sasa kwenye mahusiano, mpenzi wangu hataki kabisa tu-sex coz yeye bado ni bikra, anasema hawezi kuvunja amri ya 6 mpaka tuoane.

Dini zetu ni tofauti, pia hata malengo ya kuoa kwa sasa bado sina coz bado najijenga kimaisha. Mimi ni Mwanaume niliyekamilika nani atanitimizia haja zangu kama siyo yeye.

Anadai ananipenda hataki tuachane.

Niko njia panda ndugu zangu naomben msaada na ushauri.

Asanteni
Tunaomba mrejesho kaka vipi hio.
 
Asante Kaka! Ila Ndoa Siyo mchezo, siwez kukurupuka tu kuoa eti kisa mwanamke ni bikra....Yani hata dini zenyewe tuko tofauti! Cjui nifanyaje....
Ni vizuri kusubiri ili kuepuka zinaa. Ila ila ila ila jihadhari, wengi wao huwa waongo, na usikute keshachezewa sana na sehemu zake sa siri zimeshalegea. Wanawake wa namna hii ndio hubana huku wakitaka tendo lifanyike siku ya ndoa maana wanajua ukisha funga nae ndoa biashara imekwisha. Chochote utakachokutana nacho kwenye mwili wake utatakiwa kuvumilia tu hutakuwa na namna. Kwa hiyo wengi wao wanatumia UBIKRA km mtego wa kupata mume kwa haraka na urahisi.

Narudia tena, wengi wao unakuta walisha chakwazwa vya kutosha na maumbile ya uke zao zilishalegea. Mtego wa kuolewa ni kusema ana bikra.

NB. Nimesema, wengi wao, sio wote. Ukifuata maelezo yangu utakuja kunishukuru hapa jukwaani siku moja
 
Wana Jamiiforums wenzangu naombeni Ushauri.

Nina mwaka 1 sasa kwenye mahusiano, mpenzi wangu hataki kabisa tu-sex coz yeye bado ni bikra, anasema hawezi kuvunja amri ya 6 mpaka tuoane.

Dini zetu ni tofauti, pia hata malengo ya kuoa kwa sasa bado sina coz bado najijenga kimaisha. Mimi ni Mwanaume niliyekamilika nani atanitimizia haja zangu kama siyo yeye.

Anadai ananipenda hataki tuachane.

Niko njia panda ndugu zangu naomben msaada na ushauri.

Asanteni
Nisaidie namba za girlfriend wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom