Recent content by junkensh

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hodi wenye nyumba

    huko kwenye vyumba vingine ni hatari,nimerudi,nilienda mtaa wa 3,umenikumbuka kwa chajio?
  2. J

    JamiiForums Tanzania SHOGA WA KIKE anataka anizalie (Nimzalishe) mtoto!

    ckupenda kulisemea hili,lkn nashawishika kusema hv,kama kweli ww una shaka na malezi ya mtoto yatakuwaje vp unashindwa kuwa na mashaka kwa kutaka kuvunja amri iliyotolewa na MUNGU kuwa uczni?,lipi latakiwa kukupa hofu zaidi?
  3. J

    JamiiForums Tanzania From JF to Me!

    mh!,m mgeni mji huu!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hodi wenye nyumba

    wenyeji natoka,naenda kununua cgara hapo mtaa wa tatu,nitarudi,mcnisahau chajio eh!,
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hodi wenye nyumba

    Waw!, najua nimekosa staftahi kama ambavyo nimechelewa cha mchana,mnihesabu kwenye chajio bac maana njaa yanin'gwenya,hatari!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hodi wenye nyumba

    Lah!, humu kimya lkn nimepapenda maana kuna hewa na mwanga wa kutosha,hakuna joto wala kubanana km kule kwingine!!.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hodi wenye nyumba

    loh!,ahsante sana watu8,nashukuru kwa ukaribsho wako!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hodi wenye nyumba

    loh! kimya humu!!, au hakuna wenyeji? maana hata pa kukaa pia cpaoni! wenyewe mpo!?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hodi wenye nyumba

    hodi wenyewe!, nimekuwa nikijigonga humu coridoni kutafuta chumba hiki,hodi tena!!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimejiunga nanyi!

    hodi wenye nyumba!,mi mgeni mji huu!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tabia yako mbaya wala hujanitongoza!!

    mh!, kweli kila kizazi ni kibovu kuliko kilichotangulia!!!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini, mabaunsa wengi ndiyo mashoga..

    dah!cku zote nakaa kimya nikisoma kiandikwacho,lkn leo nimeshawishika kutoa msemo huo"kweli kila kizazi ni kibovu kuliko kilichotangulia"
Back
Top Bottom