Recent content by Junius

  1. Junius

    Sauti ya Ujerumani ifungiwe matangazo yake Tanzania

    Mbona CNN wamerusha,acha upompo huoo
  2. Junius

    CCM wawapiga wamasai huko Zanzibar

    Ndo waliosema Rais hatoki Kaskazini???
  3. Junius

    CCM wawapiga wamasai huko Zanzibar

    Nilishuhudia live unyama huu pale eneo la Aman kwa Mabata, kwa kweli ni unyama na kilichonishangaza kuwa ni CCM hao hao waliolazimisha lazima Wamasai waandikwe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura japo hawakuwa na sifa, na walipambana na watu ambao walipinga kuandikwa kwa Wamasai hao na...
  4. Junius

    Elections 2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

    Nadhani sasa ni suala la muda tu CCM kusahaulika rasmi
  5. Junius

    Tetesi: Diamond kulipwa TZS 500,000,000 na chama

    yanatafutwa mafuriko ya Platinamz
  6. Junius

    Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    kwa mawazo kama haya ndo Afrika haiendelei, watu wanafikiria vitu vidogo vidogo, vitu vya hapo kwa hapo, mambo ya ubinafsi wa nani atapata nini, bana eee, it is all about what Tanzania will achieve!
  7. Junius

    Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    Hizi ndo siasa uchwara ambazo CCM wakizitumia kuvuruga umoja wa wapinzani, nadhana uchaguzi wa mwaka huu hilo limeshitukiwa na kuwekwa sawa, muhimu kuliko yote hayo CCM iondoke madarakani, mengine tutatambuwana mbele huko
  8. Junius

    Mwenyekiti wa UVCCM (Taifa) kujiuzulu ndani ya masaa 48 kuanzia sasa

    Sadifa hawezi kutoka CCM kwanza ameshapitishwa kuwa Mgombea wa ubunge jimbo la Donge ambako ni kwako alikozaliwa na ambalo ni moja ya ngome imara sana za CCM ambayo CUF walichukuwa miaka zaidi ya 20 angalau kufungua tawi moja tu na kufanya mkutano wa hadhara, pili Sadifa ni moja ya vijana...
  9. Junius

    Maalim Seif mwongo sana

    Migambaa hiyoooooo ovyoooooo
  10. Junius

    Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

    PROF. LIPUMBA AMEJIUZURU. TAARIFA NILIZOZITHIBITISHA HIVI PUNDE NI KUWA KWELI PROF. IBRAHIM H. LIPUMBA ALIJIUZURU NAFASI YAKE YA KUWA MSHAURI WA MASUALA YA UCHUMI KATIKA SERIKALI YA CCM YA AWAMU YA PILI BAADA YA KUJIRIDHISHA KUWA HAKUTAKUWA NA MABADILIKO YA KIUCHUMI KUTOKANA NA KUTOFANYIWA...
  11. Junius

    Kama Lowasa angelikuwa MZANZIBARI

    Mwiba upoo mramu, vipi jimbo gani mwaka huu? umepita au umekatwa? Karibu Ukawa, Dr. Slaa kanuna, wewe vipi?
  12. Junius

    Mwenyekiti wa CCM Singida ajiunga na CHADEMA usiku huu

    Labda nyie magamba mtwambie orodha yenu ndeeeefu ya mafisadi ni ipi, ili atakayetoka tujuwe keshapungua huko kaja Ukawa, vinginevyo mtulie mshuhudie titanic ikizama mnaiyona!
Back
Top Bottom