Kama Lowasa angelikuwa MZANZIBARI

Kama Lowasa angelikuwa MZANZIBARI

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Tarehe zinaonyesha pale MZANZIBARI anapokwenda kinyume na kutokubaliana na CCM kinachofuata kinajulikana ,ukianzia na akina ,Aboud Jumbe,Seif Sharifu hadi huyu wa juzijuzi tu Mansour ,kilichowakuta hi suali la Mtanganyika anapokosana na Chama chake cha CCM mbona hatuoni wenye viti ,meza ,kata na upawa kuwashupalia na hata vyombo vya dola kuwabambikizia kesi za ajabu ajabu ?,

WaZanzibari jiulizeni WaTanganyika tupeni jibu :smokin:
 
Mwiba upoo mramu,

vipi jimbo gani mwaka huu?

umepita au umekatwa?

Karibu Ukawa, Dr. Slaa kanuna, wewe vipi?
 
Slaa hajanuna wala hajababaika yupo katika mikakati na take my words ataibuka na somo litakalo waacha hoi jamii ya akina mangula na Nape.najiandaa kujiunga na CCM punde tu nitakaposikia kimekuwa chama pinzani dhidi ya serikali tawala.

:A S-rap: Bado najiuliza why only for Zanzibarians CCM vigogo wanaadhibiwa wanapoachana na CCM
 
Huku Tanganyika tutasema ni FISADI, ANA UCHU WA MADARAKA, MSALITI , nk.
 
Slaa hajanuna wala hajababaika yupo katika mikakati na take my words ataibuka na somo litakalo waacha hoi jamii ya akina mangula na Nape.najiandaa kujiunga na CCM punde tu nitakaposikia kimekuwa chama pinzani dhidi ya serikali tawala.

:A S-rap: Bado najiuliza why only for Zanzibarians CCM vigogo wanaadhibiwa wanapoachana na CCM[/Quote

Ni kwa sababu watanganyika ni wengi huenda wengine hupati habari zao...lakini kumbuka akina Kambona, Sarakikya, Sarwart, Maleyale n.k hawa wote mkuu na wengine walishakumbwa na hayo majanga ila hawakulalama wakakubaliana na hali. Kuna wengine hadi leo hatujui kama walikufa kama akina Daud Balali, uliza akina Kolimba, akina Mangula wenyewe, akina mzee Mwinyi...la maana ni namna unavyokaa na viongozi wako baada ya kukumbwa na dhoruba kama hizo...
 
Slaa hajanuna wala hajababaika yupo katika mikakati na take my words ataibuka na somo litakalo waacha hoi jamii ya akina mangula na Nape.najiandaa kujiunga na CCM punde tu nitakaposikia kimekuwa chama pinzani dhidi ya serikali tawala.

:A S-rap: Bado najiuliza why only for Zanzibarians CCM vigogo wanaadhibiwa wanapoachana na CCM[/Quote

Ni kwa sababu watanganyika ni wengi huenda wengine hupati habari zao...lakini kumbuka akina Kambona, Sarakikya, Sarwart, Maleyale n.k hawa wote mkuu na wengine walishakumbwa na hayo majanga ila hawakulalama wakakubaliana na hali. Kuna wengine hadi leo hatujui kama walikufa kama akina Daud Balali, uliza akina Kolimba, akina Mangula wenyewe, akina mzee Mwinyi...la maana ni namna unavyokaa na viongozi wako baada ya kukumbwa na dhoruba kama hizo...[/QUOTE

Naongeza na hawa. Mrema, Tuntemeke Sanga, Kasanga Gumbo, Fundikira n.k
 
Back
Top Bottom