Asalaam aleykum,
Utangulizi:
Kwa kawaida kila binadamu hupenda vifuatavyo;
Kutimiza majukumu yake ili afikie malengo yake, hutamani awe na faida kwa viumbe wote, hupenda kujilinda, hujenga himaya yake, hupenda kuheshimiwa, pia hupenda kuishi vyema duniani, mambo haya ni ngumu sana kuyaona kwa...