Recent content by Junior11

  1. Junior11

    Mechi iliyochezwa muda mrefu zaidi duniani

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uongo wa wazi wazi
  2. Junior11

    TFF na Malinzi ndo mmetufikisha apa tulipo

    tatizo watu waliopewa dhamana ya kufanya io kazi walishatanguliza matumbo yao hawana akili ya kufkiria vitu vya msingi
  3. Junior11

    TFF na Malinzi ndo mmetufikisha apa tulipo

    nlikua nafuatilia sakata la Manara kufungiwa kisa kuongea vitu ambavyo vipo kiukweli Malinzi kafail malinzi huyu huyu ndo alikua anaendesha kampain Simba na Yanga zisiwe chini za watu binafsi, leo hii kama team hizi zingekua chini za watu tusingefika mda wa kuanza kupitisha bakuli kwa wananchi...
  4. Junior11

    Maajabu ya bongo movie..

    kanumba alikufa na sanaa yake maana aliitoa chimbo akaiweka kwenye ramani watu wakaanza kuielewa lakini watu alio waachia walijiaminisha kupitia kivuli cha marehemu watafika mbali ni upuuzi awa jamaa kweli wamekosa creativity utakuta director mwenyewe, location manager mwenyewe, script mwenyew...
  5. Junior11

    Ifike mahala tumpe heshima yake uyu kiumbe,(Messi)

    ebu tuanzie apa mechi ya jana umeangalia messi alikokua anachukua mipila na kusogea nayo mbele
  6. Junior11

    Ifike mahala tumpe heshima yake uyu kiumbe,(Messi)

    asa unaanzaje kusema messi anasubiri atengenezewe au mwezetu tv yako hua vise versa
  7. Junior11

    Ifike mahala tumpe heshima yake uyu kiumbe,(Messi)

    acha mpila wa kusimuliwa ase
  8. Junior11

    Maajabu ya bongo movie..

    Leo hii bongo muvi wanalalamika wamekosa soko na muvi za njee ndo zinaharibu soko lakini wamesahau kitu kimoja kinaitwa uwekezaji leo hii bongo fleva mtu anawekeza zaidi ya M 30 au 40 kwa video ya dk 4 mpaka 3 kaweka dhamira lakini awa ndugu zetu bongo muvi vituko mtupu, haiwezekani muvi ya saa...
  9. Junior11

    Ifike mahala tumpe heshima yake uyu kiumbe,(Messi)

    mpe heshima tuu hakuna namna
Back
Top Bottom