Junior11
Member
- Mar 23, 2017
- 10
- 28
tatizo watu waliopewa dhamana ya kufanya io kazi walishatanguliza matumbo yao hawana akili ya kufkiria vitu vya msingiKuna faida kubwa sana ya kitu kama hiki.
Kuwa chini wa mtu binafsi kunaifanya klabu kuwa na nguvu ya kawaida sana. Hasa kifedha.
Ngoja nikuonyeshe kitu hapa!
Tanzania ina watu zaidi ya milini 42. Nikikuuliza Mashabiki wangapi kati ya hao ni wa Simba au wa Yanga, Pengine utasema Simba Mil 6 na Pengine Yanga Mil 6.
Sasa cha kufanya wewe potezea Mil 5 fanya kwa wastani kila Klabu iwe Simba au Yanga ina mashabiki MIL 1.
Mil 1 x Tsh 1000/= Unapata Billion 1. Tena kwa makadirio ya kuwa Mashabiki wajo milioni 1.
Imagine kila mshabiki wa simba au yanga anaichangia klabu BUKU tu kwa mwezi. Hivi vilabu vinashindwaje kukusanya Bilioni Moja kila mwezi.
Sindani kama watu binafsi Manj/MO wanauwezo wa ku inject Bil 1 kila mwezi. Hili linawezekana kupitia michango ya ada kutoka kwa wanachama tu.