Habari Wana Jf!
Niende moja kwa moja kwenye Mada. Katika harakati za ukamalia,maarufu kama betting huko kwenye cannell za what's App,nikajiunga na channel moja iliyo jiita "Free correct score ". Kwenye hiyo channel adimn ni mbongo anatoa mikeka miwili ya correct score bure kila siku. Alikuwa...
Asalaam wana JF!
Leo sikuwa na ratiba ya kwenda popote, nikasema wacha niadhimishe 9 Dec hapa hapa nyumbani, mpaka pale nilipopigiwa simu na Mwenyekiti wangu mpya wa mtaa aliyechaguliwa kwa kura chache sana na kutangazwa mshindi chini ya ulinzi mkali sana.
Sijui kwanini, lakini ni Mwenyekiti...
kuna nini nyuma wa wake za watu kupenda sana hela,huku ikionekana kwao kutoa papuchi siyo issue kabisaa.
Naomba humu ndani itangazwe siku maalumu ya kuombea ndoa za watu wote waliopo kwenye ndoa.
MWAUWASA TUNAOMBA MTUREJESHEE MAJI KISHIRI A" MABOMBA MMEFUKIA MAJI HAKUNA. MCHINA AMESHA MALIZA KUSHINDILIA BARABARA.
AU WAZIRI WA MAJI NDO ATA TUREJESHEA HUDUMA?
Kuna shirika lina jiita Allience In motion global. Linakusanya vijana toka mikoa mbalimbali Tanzania, likiwaahaidi kuwapa ajira. Badala yake vijana huishia kutapeliwa kwa kujidai wana fundisha networking marketing.
Wengi wamelia na kusaga meno baada ya kutoa tsh 900,000. Na Wengine 580,000...
Iko hivi!
Huyu mwamba Ali kuwa na Mpenzi wake ambaye Mwanachuo. Mwamba ni alisha maliza chuo kitambo kwa anapiga zake kinanda kwenye moja ya church hapa Town. Mwaka wa pili mwanzoni Manzi akadaka ujauzito. Akajifungua mwaka watatu mwanzoni.
Wakalea mpaka Manzi alipo hitimu chuo. Mwamba huduma...
Endeleeni kudharau
Watu wanasepa na pesa ya Vocha huku. Kizuri kula na ndugu Yako.
Watch the video to make money20240402 🎉 jiunge leo upate hela ya vocha
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kizuri kula na ndugu yako! Mzungu amejichanya huku. Watu wanavuta mpunga tu. Watch the video to make money20240402 🎉 jiunge hapa
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.