Recent content by Junior D

  1. Junior D

    JamiiForums Tanzania Madereva wa IT na kampuni za kutoa magari!

    Aisee hao jamaa n wagumu sana kutoa connection
  2. Junior D

    JamiiForums Tanzania Tank ya mafuta imeandikwa Adblue Only na imeisha, kwa Dar hapa ntaipata wapi?

    Na wao hawajui tulienda pale SIETCO wakabaki wanashangaa eti ooh hiyo haina shida
  3. Junior D

    JamiiForums Tanzania Tank ya mafuta imeandikwa Adblue Only na imeisha, kwa Dar hapa ntaipata wapi?

    Guys Nina gari aina ya HOWO kipisi Kuna liquid pembeni ya tank ya mafuta imeandikwa Adblue Only na imeisha iko empty kwa Dar hapa ntaipata wap maana gear tayari zimeanza kua ngumu tofauti na mwanzo akati mpya
  4. Junior D

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi nzuri ya Ulinzi hapa Tanzania?

    Tatizo mshahara wao mkuu
  5. Junior D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuusu Inspection ya gari inakuaje

    Asante mkuu mi n kwa upande wa gari ndogo zinazohusika na class D maana lusaka pale naonaga mpk magari makubwa mnaleta
  6. Junior D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuusu Inspection ya gari inakuaje

    Mkuu naomba dili za kusafirisha IT bas
  7. Junior D

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi nzuri ya Ulinzi hapa Tanzania?

    nilikua nawatafta siku nyingi sana hawa wanalipa bei gani na vigezo vikoje mi nimetoka suma jkt guard
  8. Junior D

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YA KUSAFIRISHA IT

    Habari wakuu Mi ni dereva leseni class D hai na vyeti halisi mwenyeji sana wa njia za Dar- Lusaka hasa Lusaka maana nimekaa sana natafuta kazi za kusafirisha IT naombeni msaada kwa mwenye kujua utaratibu wao au wapi pa kuanzia! Asante!
  9. Junior D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike aliyenizidi miaka 3 hadi 5

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Junior D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume mtu mzima

    Haujakutana tu vijana ambao tuko serious ndo maana unaumizwa
  11. Junior D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    You are not serious
  12. Junior D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Usafiri wa magari ya IT kutoka Dar kwenda Zambia /Malawi

    Icd ndo wap mkuu mi mgeni kdg dar
  13. Junior D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Usafiri wa magari ya IT kutoka Dar kwenda Zambia /Malawi

    Sa mbona lina pumbu
  14. Junior D

    JamiiForums Tanzania CONFESSION: Mimi ni mvivu wa kuoga, huu mwezi wa 2 ila sinuki!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  15. Junior D

    JamiiForums Tanzania CONFESSION: Mimi ni mvivu wa kuoga, huu mwezi wa 2 ila sinuki!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom