ninachojua mimi na mdyo ukweli taarifa za mahesabu za tra ni miongoni mwa taarifa bora nchini, na tra imekuwa mshimdi mara nyingi kama si wa 1 basi 2 hivo kwamba zinafichwa huo ni ichonganishi maama zitafichwa alafu zishimdamoshwe
huu udaku utadha mashakumpe yameweksna kati.
yani hii thread ilivoanzishwa na kuchangiwa kila sekunde baada ya post kuna reply. nadhani kuna watu hawana kazi kazini kutengeneza umbea ili walipwe... ujuha gani huu karne hii!
sasa imekuwa ni kama wamepanga,hakuna kiongozi yeyote wa CCM wala serikali anayeelekea kuumizwa na mauaji ya watoto wadogo wa madarasa huko arusha wala mwanamama mjamzito kule mtwara.
wanachojali ni kuhakikisha utawala wao hautikiswi hata kama wanaoumia ni watoto na akinamama wasiokuwa na...
Kulingana na taarifa za polisi kwamba ni Victor pekee aliyepelekwa mahakamani kuhusisna na mauaji na wala si kwa ugaidi, wa kulipua kanisa kwa bomu huko Arusha; shahuku ya wengi kwamba serikali sasa itnachukua hatua imeanza kufifia.
Kwani ni vigumu kuamini kama wapelelezi waliridhika Victor...
sitakaa nikaamini kwamba victor pekee ndiye aliyekula njama, akaagiza bomu, na kulipua kanisa bila kumshirikisha mtu au watu wengine.
na sitaki kuanini kwamba vyombi cyetu vya ulinzi kwa zaidi ya wiki vimeshindwa kubaini waluoshirikiana na victor hata kama ni mapadre au masista
naelekea...
msisahau assessment ya kodi ni kwa pato la mwaka hivo unachukuliwa mshahara wako wa sasa unazidiswa x 12 na kupatamakadirio ya kodi kutokana na mapato yako ya mwaka.
ikiwa mapato yako yamebadilika ndani ya mwaka husika mfano umeacha kazi au mshahara umepanda unapaswa kuwasiliana na watu wenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.