Mnachofanya ni hatarii na ndio maana waschana wengi wanaendelea kuumizwa mwanaume akishakula mzigo haoni jpya kama mnataka mapenz muoane tuu muwe huru kufanya mpk choka yeenuu....
Sijaelewa we ni jinsia gani maana jina limenipa ugumu,,pole kwa hilo ila je amekutamkia kuwa hakutaki tena au ni vile unavyofikiri? Kama hajakutamkia jaribu kutafuta nafas nzuri ukae na umuulize ana kwa ana akutamkie na endapo hatokubali kukaa na kuongea jivike ujasiri kaa tu kimya japo inauma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.