ndugu yangu utamponza jamaa yetu anayeomba ushauri.coz ya mechatronics bado ni ngen Tanzania hivyo unavyo mwambia atawez kuwa na uwanja mpana wa ajira sio kwel.
naomba nikuulize swali tu moja kwamba una mtu wa mecharonics alaf una mtu wa software engineering.alf kazi ni ya software je utampa...
Punguza hasira ndugu , tatizo Ni Sisi Tanganyika tunawashobokea wenyewe . Uliona wapi muungano WA watu mil 62 kuungana na watu mil 1 . Wao wenyewe hawatutaki Ni shobo zetu wenyewe
Kwanza kusajiliwa ERB haijutaji ajira. Wapo technicians tele waliosajiwa wengine wanasoma Bachelor mavyuoni na wengine wapo na pirika zao kama ajira na mengineyo. Hata ukimaliza na Bachelor ERB inakusajili kama graduate engineer ila kupanda rank lazima uwe umesajiliwa .
Pia haina maana kama...
Pia akumbuke mechatronics ya DMI Ipo kwenye marine environment Zaidi , angalia prospectus yao utaona hata module nyingi wanashare na wanafunzi wa marine , mechanical and marine . Hata 2021 ilikuwainaitwa naval mechatronics . Wameibadilisha 2022 na kuendelea .
Ila ile ya ATC Ni mechatronics...
Kati ya mechatronics and mechanical Ni bora asome mechatronics .
1. Mechatronics Ni mkusanyiko wa mechanical + electrical and electronics + computer science . Utasoma module tofauti kutokea kwenye sekta hizo .
2. Mechatronics Pia inaendana na revolution ya engineering iliopo . Mfano robotics...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.