Tumuombee ili aendelee kuyafanya maisha yetu magumu? sion mantiki ya kumuombea mtu ambaye anazidi kuyafanya maisha ya watu wa hali ya chini kuwa magumu
Nimeona huu uzi Makonda kutoa ufafanuzi kuhusu "upotoshaji" unaofanywa na wabaya wake kuwa atatolea tamko Clouds sasa nabaki kujiuliza iv Tbc si ndio television ya uma??? Iweje akatolee binafsi?
Kwani clouds wanakulipa mkuu? Mbona kila kitu unafanyia kwao wakati kuna tv ya uma?
NYIE ENDELEENI KUPOTOSHA ILA MATUKIO YA KUKATANA MAPANGA YAPO MIKOA YOTE SEMA MKISIKIA KWETU NDO KELELE ZINAKUWA NYINGI
HAMJUI TU ILA HAKUNA WATU WAPOLE KAMA WAKURYA! MPAKA MKURYA AKUDHURU UJUE UMEMCHOKOZA MPAKA UMEVUKA MIPAKA
KWANZA NI AIBU KIJANA WA KIKURYA KUPIGANA NA MAKABILA MENGINE KWA...
Hunaulizwa matokeo umeombwa no zako za mtihani! Nimesoma post yako na coment zako ni kweli unahitaji kusoma naamin but hakuna atakayekusaidia kwa lugha na majibu yako na pia ulipewa njia mbadala unakuwa mkali unataka degree pekee mara usemw una njia zako za kufundisha hesabu! Hizo njia umezisoma...
Sio kwa Tanzania ambako Jaji mkuu anateuliwa na kupewa maagizo na raisi au speakear kupenyezwa na raisi! Hilo unalolisema ulilisoma kwenye daftari na liliishia pale
Kuna aina nyingi sana za uchangudoa ingawa wengi mmekuwa mkiwajua wale qa barabarani.
1. Wa kusimama barabarani na kusubiri wateja
2. Wa kukaa (kutega) bar ukijifanya unakunywa atakayevutiwa mnaelewana
3. Kwenye mitandao ya kijamii kama badoo
4. Uchangudoa wa msichana wako kila ukimaliza...
Inakuwaje swala la wao kukatwa kodi linawauma kiasi cha kuwafanya wasahau kujadili bajeti nzima wamekomalia hilo
Kwahiyo kodi tunayokatwa wananchi haiwaumi ila yao ndo inauma?
Haya mods unganisheni huu uzi wangu na zingine kama mlivyozoea! Mnakera sana
Nimeatach hiyo screenshot kujenga hoja vizuri
Nimeona leo Mheshimiwa mstahik Meya Jacob kaingia mkataba wa kutengeneza madawati zaidi ya 12000 ambalo ni jambo zuri sana katika ujenzi wa elimu yetu
Changamoto imeniijia pale nilipopitia malipo waliyopewa wakandarasi ya kuwalipa kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.