Recent content by Jumannenavali

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yampa ushindi Baba wa Mawazo, Mawazo kuagwa na kuzikwa kwa heshima zote

    Wameshindwa kugombea urais sasa wanagombea maiti
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inaogopa Ushindi wa Maalim Seif (UKAWA) Zanzibar?

    Mapinduz daima muwe mnaelewa kauli hii, watu walimwaga damu iweje uchukue kwa karatasi
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inaogopa Ushindi wa Maalim Seif (UKAWA) Zanzibar?

    Tumeshindwa kugombea urais nashangaa tunagombea maiti, hali sio nzuri upande wa jirani
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inaogopa Ushindi wa Maalim Seif (UKAWA) Zanzibar?

    Haya ndo matatizo ya kudandia siasa za zenji bila kujua asili yake, iv unaelewa kauli mbiu ya mapinduziiii daima, kama ujui anzia hapo, watu walipigana af we upewe kwa makaratasi endelea kuota
  5. J

    JamiiForums Tanzania Funzo kwa CHADEMA: Huwezi kwenda Ikulu kwa kutumia njia ya mkato

    Mtu anahoji ulijiunga CCM lini kasahau kuna mgombea naye ajulikani kaamia lin CDM na akawa mgombea urais, na nafasi ya kuhoji haikuwepo ha ha haaa
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini ISRAEL haishambuliwi na magaidi?

    We umeona Israel tu, Mbona Cuba husemi
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Maalim Seif hataki kulipeleka suala la ZEC mahakamani?

    Maalim anatambua kuwe yeye ndio chanzo cha mgogoro hivyo hawezi kwenda mahakamani, Duniani mpaka mbinguni hakuna utaratibu wa kujitangaza hata motoni wapo wasoma matokeo ya dhambi zamtu mana kila mtu angejitangaza ye ni wa Peponi tu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi UKAWA kutangaza hatma ya Zanzibar siku ya Jumapili

    Mi nawaambia kama mtu akijitangaza mshindi afu apewe ikulu, labda kuwe na ikulu mbili Znz, mana utakuwa utaratibu mpya kuwai kutokea dunian hadi Moton
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Kufa wewe kwanza tumeshtuka, kuna mtu mwana cdm kuliko dk slaa utakuwa wewe, watu washafunga hesab saiv akil bungen ushamsikia mbowe anaropoka kwa sasa, deal done, mission complete
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Ampe nani kilaza kama yule uspika kabda ukawa ndo anapata nafasi ya usemaji
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hivi bunge la 11 ni bunge la Tanzania au Tanganyika?

    Mh mbowe atakuwa na majibu yako mtafte akujibu mana icj sijui imeishia wapii?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi UKAWA kutangaza hatma ya Zanzibar siku ya Jumapili

    Saiv wameungana znz, hahahaaa kwani yale ya icj yameishia wapi wanaukiwa
  13. J

    JamiiForums Tanzania Haya maswali ya Jussa, hakuna mwenye uwezo wa kuyajibu!

    Mi namfikiri ni mda wa shein nae kujitangaza mshindi mana akili mbovu zinafikiri kujitangaza na utapewa madaraka, wapii tume iko vizur sana mana sheni nae angejitangaza bc kama kujitangaza ndo upewe madaraka
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Sijui huyu mzungu atanikubali?

    Usipende shotcut ktk maisha, yani mpaka umri wake unajua hana boy, ukome kuonjeshwa unajua kashakua mkeo fata kazi ilokupeleka na sio mapenzi na kakuhurumia kama rafiki ukapewa unataka kuganda, kwanza kapime utakuwa kashakupa tuvitu
  15. J

    JamiiForums Tanzania Posho ya Vikao vya Bunge na Ziara za Kamati zifutwe

    Futa posho zote na magari wakopeshwe hakuna atakayeleta madudu na kukimbilia bungeni
Back
Top Bottom