Recent content by jumamhala

  1. J

    JamiiForums Hivi kiwango cha mwisho cha ufaulu darasa la saba ni upi?

    Jaman naomba kujua kiwango cha daraja gani cha ufaulu std 7 maana Luna MTU alipata daraja D VIP atachaguliwa kweenda kdato?
  2. J

    JamiiForums Fao la kujitoa lazidi kuwindwa

    Sijakuelewa ndavandava ulipeleka barua lin na nibaada ya miez 6 ndo ukafungue madai? Au kuchukua pesa na in mfuko gan? Maana PPF ndo majanga
  3. J

    JamiiForums Vipi huko kwenu, bado "laki si pesa"?

    Kutokana na upepo wa sasa iv in pesa kubwa sana
  4. J

    JamiiForums Fao la kujitoa lazidi kuwindwa

    Jaman wanajamvi naomba kufahamu kuhusu taarifa hizi maana Mimi nimesikia tetesi tu, eti FAO hili utalichukua baada ya miez 6 baada ya kuacha Kaz tofauti na ilivokua? Msaada pls
Back
Top Bottom