Recent content by Jumaa gosso

  1. Jumaa gosso

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na biashara ya Bitcoin

    As prove long bitcoin itaendelea kuwepo miaka kwa miaka Haija milikiwa na nnchi yoyote Duniani Mtoa mada huijui bitcoin nenda kaisome vizuri
  2. Jumaa gosso

    JamiiForums Tanzania FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

    Karafuu hazina soko kwasasa yakhe?
  3. Jumaa gosso

    JamiiForums Tanzania Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Embu uzeni karafuuu
  4. Jumaa gosso

    JamiiForums Tanzania Wadau/wajasiliamali wa humu kuweni makini sana!

    Pale utakapo losse ndo utajua kwanini pesa madafu na siNazi
  5. Jumaa gosso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume usije ukajidanganya kutembea na wanawake wanaoweka kucha ndefu hawanawi ikulu

    Hivi wadada wapo wapi Povu ruksa
  6. Jumaa gosso

    JamiiForums Tanzania Hili Tatizo la kuweka "L" badala ya "R" katika uandishi ni Janga la Kitaifa

    Hilo tatizo ni janga kwangu hakuna atakae baki salama
  7. Jumaa gosso

    JamiiForums Tanzania Wadau/wajasiliamali wa humu kuweni makini sana!

    Povu la nini sasa [emoji3][emoji3]
  8. Jumaa gosso

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kumaliza wino to wa Jf Vitabu vipo vingi ya forex nenda kasome Kama lugha kwako ni tatizo basi pambana na hali yako kilikuja na ndege kile alafu tuliwafukuza mapema
  9. Jumaa gosso

    JamiiForums Tanzania Wadau/wajasiliamali wa humu kuweni makini sana!

    Nazani umemkusudia bwana, O N T A R I O ujumbe utamfikia mubashara
  10. Jumaa gosso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kujiamini ktk utongozaji

    Ubeep [emoji3][emoji3]
  11. Jumaa gosso

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Cocacola inaendelea kutangazwa wakati hakuna wanachoongeza wala kupunguza kwenye soda hiyo?

    Tumeongeza Majina yenu katika Soda zetu Coke bashite Coke Zero
  12. Jumaa gosso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namshauri Kocha wa Taifa Stars atafute mlinda mlango mwingine badala ya Manula

    Unapendekeza awe na urefu gani Maoni yako plz.
  13. Jumaa gosso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke havutiwi na six park zako

    Umetumia muda mwingi kuandika vitu ambavyo havina faida katika Tz yetu ya Viwanda Pole sana
  14. Jumaa gosso

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje magari haya yakafanana 'plate number'?

    Haya ni majabu ya mwaka hii ndo Tz ya viwanda Tulifanya makosa kuwafukuza wathungu mapema aisee
  15. Jumaa gosso

    JamiiForums Tanzania Brands za biashara/products zilizofeli hapa Tanzania

    Chibu perfume, zile lips stick za wema sepetu
Back
Top Bottom